Wembamba huu unanifanya nijihisi dhaifu na mpweke sana

vitambi sio vizuri ongeza mwili kwa kufanya mazoezi ya kubeba vitu vizito n uwe unaongeza kila siku utaongezeka vizuri
 
huo mwili mbona wa kwaida. mi nna uref 164 kiuno 28 kilo 54 hips 39 but am comfortable and proud na umbo langu tena wadada wenzangu wanalitamanije jiamin
 
FANYA MAZOEZI YA GYM

KULA ZAIDI YA UNAVYOKULA KWA SASA

PUNGUZA MAWAZO KWA KUJIWEKA BIZE

PIGA PUSH UP 1000 KWA SIKU

MLO WAKO UWE KAMA IFUATAVYO

1.BREAKFAST....Ndizi nne, Yai nne, mkate+blueband, na maziwa
2.Pre-lunch....Maziwa kikombe kimoja, na mkate wenye blue band
3.LUNCH....Wali,nyama,parachichi,Maziwa
4.PRE-DINNER...Karanga,yai mbili,maziwa
5.DINNER...Maziwa,chungwa,wali nyama, parachichi
6.POST DINNER.....Asali,mkate,karanga,ndizi,na Maziwa

TUMIA NA PROTEIN POWDER SUPPLEMENT kama WHEAY zipo kibao ukienda kwenye supermaket kubwa
UKIFANYA HAYO YOTE BAADA YA WEEK 6UTAKUJA UNIAMBIE
 

Nazani hata akinenepaa umpee ushauri jinc ya kupungua maana hii ratibaa wiki 6 hazitafika bilaa kuwa bonge aiseee mkuu
 
Kaka,mimi ninakushauri kitu kimoja cha muhimu sana;kuishi maisha mazuri,yani,(ule vizuri,-balanced diet,ulale vizuri,have fun-furahia maisha).Sometimes inaweza ikawa ni specific health issue au ugumu wa maisha.Ninahusika na mambo ya nutrition naweza nikakusaidia.Kwa maelezo zaidi nipigie namba 0659143784.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…