Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
huu uonevu jamani...Alafu mtaskia tu
Tomorrow
Maybe 10yrs from now
Ndege imeanguka kule wilson muanze kushangaa
This is Jubilee for you!!!!
Yeah grapevine ni segment kwa business daily idiot!!!!.....Hizi gazeti za shillingi kumi bana nilikuwa nashangaa sana ni nani huwa anazisoma. Kumbe ni Sam. Eti grapevine has confirmed......
Alafu mtaskia tu
Tomorrow
Maybe 10yrs from now
Ndege imeanguka kule wilson muanze kushangaa
This is Jubilee for you!!!!
Nilidhani utamalizia na kuniambia Raila atakavozuia ndege kuanguka akisha kuwa rais. Nilisahau NASA kampeni iliwashinda sasa hivi ni mwendo wa, kiangazi kikali, Uhuru, kunguni kitandani, Uhuru.Yeah grapevine ni segment kwa business daily idiot!!!!.....
Shift blame ndege ikianguka iue watu kadhaa ndio mnatokea apa na period za national mourning!!
Muekeni Rais muone Mafia za Wakikuyu zilizo jaza Nepotism corruption ETC zitakavyo anguka haraka!!!Nilidhani utamalizia na kuniambia Raila atakavozuia ndege kuanguka akisha kuwa rais. Nilisahau NASA kampeni iliwashinda sasa hivi ni mwendo wa, kiangazi kikali, Uhuru, kunguni kitandani, Uhuru.
Mafia gani? We pambana na hali yako kama wakenya wengine. Usingoje Raila au Uhuru akupe cha bure. Au kuna yeyote kati yao aliekuahidi cheo cha uwaziri kwenye serikali yake?Muekeni Rais muone Mafia za Wakikuyu zilizo jaza Nepotism corruption ETC zitakavyo anguka haraka!!!
Said every South African while watching MandelaMafia gani? We pambana na hali yako kama wakenya wengine. Usingoje Raila au Uhuru akupe cha bure. Au kuna yeyote kati yao aliekuahidi cheo cha uwaziri kwenye serikali yake?
nani, mimi am just curious nothing else. Just indulge me kidogo: what ,how or where does your toxic tribalism help you? One day the almightys footsteps shall lead you to a place of dire need when you shall require the help of the nearest human being in a matter of seconds, I just pray and hope it's not some random njaruo that you've been scalding.Sasa tutatii katiba ndo unaniambia mimi au? We ni chizi katiba na mimi wapi na wapi? Mi niko busy natengeza hela. We endelea kuandamana.
Sasa nikisema sina wakati wa kuandamana ndo ukabila? Nimesema hivo kwa sababu nina majukumu na ndoto za kutimiza. Watoto wangu hawali maandamano wala mass action. Kufanya kazi na kuchapa biashara bila kusumbuliwa na mtu ni haki yangu kikatiba au sio?nani, mimi am just curious nothing else. Just indulge me kidogo: what ,how or where does your toxic tribalism help you? One day the almightys footsteps shall lead you to a place of dire need when you shall require the help of the nearest human being in a matter of seconds, I just pray and hope it's not some random njaruo that you've been scalding.
As you were. endelea.
Kuandamana, sijui kuchapa works na ukabila wako ambao ni waazi kama mchana, wapi na wapi? Mimi nina chapa kazi zaidi ya 14 hrs kwa siku, lakini sisemi hadharani mpaka sasa. Na bila shaka kuna wengi hapa wenye shughuli nzito nzito. Nachokuuliza ni simple sana: mimi na bila shaka wengine hapa wamehisi wewe huwa na shinikizo na mawazo za kudhihaki wenzako wa sehemu zingine za nchi wasio wa kabila lako. Hayo fikira za mrengo wa kulia zina manufaa gani kwako wewe binafsi na kwa jamii kwa ujumla? .Sasa nikisema sina wakati wa kuandamana ndo ukabila? Nimesema hivo kwa sababu nina majukumu na ndoto za kutimiza. Watoto wangu hawali maandamano wala mass action. Kufanya kazi na kuchapa biashara bila kusumbuliwa na mtu ni haki yangu kikatiba au sio?
Okay, I officially give up, it seems hatuelewani. Aidha hiyo au unajidoo huelewi. Nimekuachia, lala salama.Wewe Quickly mmefikia uamuzi huo kwenye kikao gani na mkiwa na nani? Kwamba mimi ni mkabila? Nimekuuliza kabila lako ni gani hata siku moja? Kama kutetea Uhuru Kenyatta na wakikuyu mnaowachukia dhidi ya uongo wenu mnaouendeleza makada wa NASA ni ukabila nivishe shahada ya ukabila chap chap!