mkubwa 21
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 442
- 118
Karibuni wadau, na watalaamu..
Je ni utalaam up unaotumika kunyolea ndevu kwa wembe kwa kutumia mkono au mashine yake na je ni kwel usababisha vipele..
na je kunatofauti yoyote kunyoa kwa wembe kawaida na mashine ya umeme?
KARIBUNI!! SANA changia kadri uwezavyo