Wembemba mwingine kiboko

Mbona wembamba wa kawaida tu!? Ila miguu ndo kiboko!! Saizi ya chupa ya fanta!
 
Ila kweli, kuna watu ni slim, huyo bibie ana afadhali
 
mbona huyu ni wa kawaida tu hamjaona wembamba nyie!
mie nilikuwaga mwembamba huyu bonge,hadi leo watu niliosoma nao wakiniona wanasema eeh huu mwili umetoka wapi..
sema hawa wenzetu ndio kujikondesha siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…