Wenger alikuwa nuksi Arsenal ?

Hapana alijaa kiburi, na kujiona yeye ndio kila kitu. Kisa jina lake na club linafanana!!!

Mtu yoyote akiishiwa maarifa/mbinu huwa na kiburi kujionesha bado anajua.

And it works, ndio maana umeshindwa kujua kwamba mzee kaishiwa mbinu bali ni kiburi tu.
 
Mlitabiliwa wapenzi wa Asenelii mtaenda peponi kwa subira. Leo mna jitutumua sasa subirini moto uwawakie.
 
Hao LGBT wamefanyaje mkuu?
Ozil hakuwepo pia game na Bournemouth, anasugua! Hata Cech anasugua sasa!
Mechi ya Bournemouth, Unai Emery alihitaji physicality kama ulivyoona Bournemouth ni vipande vya watu, vimeshiba, vimepanda juu! Ndio sababu Özil hakuweza kumtumia
Lakini hii mechi ya Spurs alihitaji creativity ya Özil Ila kwasababu ilikuwa siku za maadhimisho ya hawa LGBT Özil akucheza kumbuka Mesut anamsimamo na imani iliyopitiliza kama angelicheza lazima angelivaa kitambaa cha unahodha kunachoshawishi, kuhalalisha na kupigania hawa LGBT. Siyo kila kitu kocha atakiri
 
Mbona Mustafi kacheza asee?
Shkodrani Mustafi kacheza mechi kama anavyocheza PL, issue ni Kitambaa kuunga mkono LGBT

Swali ni mbona Xhaka amevaa? Yes amevaa ila kajitoa ufahamu kwamba mi sisapoti navaa kama nahodha lakini hakuwa happy fatilia game zote na hii utaona utofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…