Wengi hamjui maana ya bikira

Wengi hamjui maana ya bikira

kadogo2

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
1,889
Reaction score
3,059
Jamani bikira maana yake ni mwanamke ama mwanaume ambae hamjui mtu yaani hajawai kufanya ngono yoyote wala kupitisha chochote kwenye uchi wake kwa lengo la kujihusisha na ngono

Bikira huwa haipotei kwa hizo shughuli mnazozitaja sijui baiskel sijui mazoezi, kinachofanya mtu asiwe bikira ni kufanya mapenzi tu

Mnachanganya kitu hapo utando ambao upo kwenye uke wa mwanamke ndio hupasuka kutokana na hizo shughuli mnazozisema na pia Kuna wanawake ambao hawajazaliwa na huo utando

Kinachowachanganya wanaume wengi ni ile nadharia ya ili ajulikane huyu mwanamke ni bikira lazima damu itoke hapana sio lazima kwasababu yawezekana kiwambo ama utando ambao ulikuwa kwenye uchi wake ulishatoka kwa hizo shughuli mnazozisema sijui baiskel mazoezi

Kitakachokujulisha huyu mwanamke ni bikira ni pale utakosex nae ugumu utakaoupata mpk uume kupenya ukeni ndio utajua huyu ni bikira

Kwaiyo Kaka zangu msitishike kwamba hamkuona damu basi museme mumepigwa hapana

Walitoa bikira wanajua namna ilivongumu kupitisha uume

Nakumbuka mimi shemeji yenu ilimchukua zaidii ya miezi na miezi mpk ikapita na alikuwa akitoka hapo dushe linauma kinoma kama nilipigiliwa zege na damu haikutoka hata nukta ila maumivu niliyoyapata mpk ilikuwa nikiona anakuja naanza kulia

Wenye experience ya kutoa bikira ndio watanielewa Hakuna uhusiano wa kutoa damu na kuwa bikira haupo
 
Kuna bikra ya hisia ambayo wengi hawaijui, na ndio muhimu sana

Mwanamke aliekua na mahusiano na wanaume wengi ila akawanyima kua mpaka ndoa ndo atawapa, huyu hata ukiitoa hiyo physical virgin atakusumbua

Kwa upande mwengine imagine mwanamke alibakwa, sasa hana bikra watu wanayoiongelea, lakini hajawai kua na mwanaume, huyu ni bora zaidi

It is all about bonding
 
IMG-20240213-WA0585.jpg

PambanaZaidi/CottonandMore
 
Kuna bikra ya hisia ambayo wengi hawaijui, na ndio muhimu sana

Mwanamke aliekua na mahusiano na wanaume wengi ila akawanyima kua mpaka ndoa ndo atawapa, huyu hata ukiitoa hiyo physical virgin atakusumbua

Kwa upande mwengine imagine mwanamke alibakwa, sasa hana bikra watu wanayoiongelea, lakini hajawai kua na mwanaume, huyu ni bora zaidi

It is all about bonding
hii nayo ni point ya msing
 
Jamani bikira maana yake ni mwanamke ama mwanaume ambae hamjui mtu yaani hajawai kufanya ngono yoyote wala kupitisha chochote kwenye uchi wake kwa lengo la kujihusisha na ngono

Bikira huwa haipotei kwa hizo shughuli mnazozitaja sijui baiskel sijui mazoezi, kinachofanya mtu asiwe bikira ni kufanya mapenzi tu

Mnachanganya kitu hapo utando ambao upo kwenye uke wa mwanamke ndio hupasuka kutokana na hizo shughuli mnazozisema na pia Kuna wanawake ambao hawajazaliwa na huo utando

Kinachowachanganya wanaume wengi ni ile nadharia ya ili ajulikane huyu mwanamke ni bikira lazima damu itoke hapana sio lazima kwasababu yawezekana kiwambo ama utando ambao ulikuwa kwenye uchi wake ulishatoka kwa hizo shughuli mnazozisema sijui baiskel mazoezi

Kitakachokujulisha huyu mwanamke ni bikira ni pale utakosex nae ugumu utakaoupata mpk uume kupenya ukeni ndio utajua huyu ni bikira

Kwaiyo Kaka zangu msitishike kwamba hamkuona damu basi museme mumepigwa hapana

Walitoa bikira wanajua namna ilivongumu kupitisha uume

Nakumbuka mimi shemeji yenu ilimchukua zaidii ya miezi na miezi mpk ikapita na alikuwa akitoka hapo dushe linauma kinoma kama nilipigiliwa zege na damu haikutoka hata nukta ila maumivu niliyoyapata mpk ilikuwa nikiona anakuja naanza kulia

Wenye experience ya kutoa bikira ndio watanielewa Hakuna uhusiano wa kutoa damu na kuwa bikira haupo
Sure,very much.
 
Duh!..
 
mbaka umri huu nishavunja bikra tano na zote zilitoa damu. anyway hawa wanawake wote hawajui kueendesha baiskeli
 
Kitakachokujulisha huyu mwanamke ni bikira ni pale utakosex nae ugumu utakaoupata mpk uume kupenya ukeni ndio utajua huyu ni bikira

Kwaiyo Kaka zangu msitishike kwamba hamkuona damu basi museme mumepigwa hapana

Walitoa bikira wanajua namna ilivongumu kupitisha uume

Nakumbuka mimi shemeji yenu ilimchukua zaidii ya miezi na miezi mpk ikapita na alikuwa akitoka hapo dushe linauma kinoma kama
Vipi kama shemeji alibakwa akiwa mdogo kwa hiyo alikuwa anaogopa sana kufanya mapenzi na wewe??
 
Back
Top Bottom