ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Asante we unaelewa
e-mail au electronic mail ni barua Pepe kwa kiswahili.Kama kweli unajua maana ya hizi kauli na unajua asili ya lugha,Mambo ya kukopa misamiati mfano shirt na shati.aliyetohoa lugha yetu Ni muingereza na mwingireza kwa kutumia ukoloni akatutengenezea lugha skirt ikawa sketi kiswahili chake bado hai hakijpatikana.
ATM ni kiotomotelae-mail au electronic mail ni barua Pepe kwa kiswahili.
ATM (Automatic Teller Machine) naamini watu wengi wanajua maana yake, labda tafsiri rasmi ya Kiswahili ya ATM ndio tuingojee hapa.