Wako na Sheikh wao...........
Wanasiasa waangalie tu kwa kuwahurumia!
1. Wengi wao wamesomea kwenye shule za kanisa akiwepo MAKAMBA.
2. Wakipata shida wanakimbilia wa viongozi wa dini. Hata akiapishwa Rais, wanawaita viongozi wa dini.
3. wamesahau kuwa Mungu, ambaye maaskofu wanamtumikia, ndiye anawapa madaraka wanayodhani ni ya kwao.
4. na wanasahau kuwa Mungu ndiye pekee anaweza kuwapa uhai na amani. sio siasa zao za maji taka.
5. Mungu ndiye kiongozi mkuu.
Kama HAKIELIMU wasemavyo,
Watafakari, wachukue hatua ya kujirekebisha.
Hata hivyo inabidi hawa viongozi wa dini nyingine nao wasiwe wazito kujifunza vitu rahisi. Haiwezekani wakawa hawana idea ya ku-initiate kitu hadi wenzao waanzishe. Ukitoka waraka, nao wanataka wao...... sasa Arusha, hadi maaskofu waongee. Watanzania tusikimbie shule, inasaidia sana.
Nasupport sn mada hii na mleta mada amebobea kwenye mahusiano ya jamii.
Napenda nikazie kwenye huduma za jamii upande wa afya.
Hospitali kubwa na tegemewa za KANISA Mkoani Arusha ni:
1.Saint Elizabeth(father Babu)
2.Lutheran Medical Centre
3.Selian Ngaramtoni nk.
Huyu mama kwa kukosa ubongo kwake anadhan kanisa liko myopic na kuishia kuhubiri altareni.
Nadhani ana malezi mabaya.
wewe nawe hebu toka kwenye giza! sio wote wanaoamini ukristo, na hicho ndicho msichotaka kukikubali!
wapemba 27 walivyouwa mwaka 2001 na mzee mkapa hawa maaskofu walikuwa hawajazaliwa au walikuwa bado hawajahitimu mafunzo ya uaskofu? maana hawakutoa kauli yoyote!
Nguvu za kanis zinajulikana, tuliona yaliyotokea Rwanda kwa chokochoko zao.
Acha kuchanganya, maaskofu wanatumia nguvu za Mungu siyo Kanisa! Unaionaje Rwanda inavyokwenda kasi kwa maendeleo? Hatuta wapata kamwe kama tukiendelea kuwa na viongozi wanao tumia nguvu za majini ya Shehe Yahaya!
Viongozi wa dini ni sehemu muhimu katika jamii yoyote. Faida zao zinajulikana lakini pia tuangalie upande mwingine wa shilingi. Leo hii Kanisa linasema halimtambui Raisi wa Tanzania, moja kwa moja litakua limeleta mgawanyiko wa kidini na sio waki maadili.
Mtoa mada, unasema kwa sababu Makanisa yanatoa misaada kwa hiyo wanahaki zaidi katika maamuzii ya siasa nchini. Hapo ndio unapokosea kwa sababu hayo ndio mambo yatayo ukuza udini Tanzania.
Viongozi wa dini wasipokua waangalifu basi wanaweza kubomoa badala ya kujenga. Lazima tuangalie nje ya imani zetu za dini na kuweka utaifa mbele. Dini hizi hizi zinaweza kutumika vibaya na kuleta machafuko makubwa nchini, mifano ni mingi, sina haja ya kuelezea.
Kwa hiyo ni maaskofu ndio wanayoiendesha kasi? Na yale mauaji ya halaiki nani aliyachochea? au unajifanya hujui?
Ikumbukwe kuwa ni maaskofu na wachungaji Serikali iliyoko madarakani iliwatumia wakati wa uchaguzi wa 31 oct kuwasihi waumini wao warudi majumbani mwao baada ya kupiga kura. Amini kuwa wangeambiwa wasiende kupiga kura wasingeenda na kama wangeenda wangekuwa watu wachache sana.
Mauwaji ya kimbali ya Rwanda yalikuwa ni ya kikabila siyo ya kidini! Acha uzoba wako, maaskofu wa Rwanda walikuwa wanampinga nani serikalini, je waliokuwa madarakani walikuwa mashehe au maimamu? Angalia percentage ya wenye imani kama yako ya Rwanda na wumini wa madhehebu mengine na dini za asili atapata jibu!
Nimekustukia, kubishana na wewe unaestruggle kwenda akhera ni kupoteza muda maana unafikiri kinyume nyume kama maandishi ya kiarabu!