Elections 2010 Wengi hawajui Nguvu ya Maaskofu

Status
Not open for further replies.

Mkuu kwako wewe ni sawa askofu kupanda madbabahuni na kuhubiri mfano jk hafai ameiba kura msimchague mchagueni dr slaa.
Na misikitini waseme mchague jk slaa hafai.
unadhani nini kitakachofuata?
 

Shukrani kwa mchango wako, yani tukishindwa kuona tatizo hilo basi tunaelekea kuchinjana.. If great thinkers cannot see this obvious problem, imagine hao wananchi wa kawaida.. Ignorance will kill us.....Maaskofu wamevuka mpaka kama vile waliposema Kikwete ni chaguo la mungu..
 

Nchi tajiri ndivyo wafanyavyo tuko pamoja mkuu. nathibitisha maoni yako na haya hapa ya serikali ya USA kupitia ubalozi wake nchini Tanzania ilipotoa misaada kwenye makanisa kwa ajili ya wananchi.

Mambo yanavyokwenda mrama huwa maaskofu hawataki kuona aibu hiyo ikiingia kwao.

Thanx.



Front Page 1

On Monday, December 13, at the U.S. Embassy in Dar es Salaam, the U.S. Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt presented grants totaling Tsh.190 million to fifteen community-based organizations from Arusha, Dar es Salaam, Tanga, Iringa, Kagera, Mafia, Manyara, Morogoro, Mwanza, Ruvuma and Zanzibar. The grants provided by the Ambassador's Self-Help Fund and Ambassador's Fund for HIV/AIDS Relief will be used to support communities in their commerce, education and water and sanitation projects as well as in programs to support care-givers affected by HIV and those supporting orphans and vulnerable children. Ambassador Lenhardt (center) with coordinators and managers of community-based projects that received the grants.

 

Anold,
Kwanza asante sana kwa kuwajuza watu kuhusu umuhimu wa kanisa.
Kanisa kwa kweli limefanikiwa sana kuendesha miradi yake ya kijamii kwa ufanisi mkubwa mno. Hospitali, mashule na vyuo vyote vyenye mafanikio, sehemu kubwa ni mali ya kanisa.
Hawa viongozi katika siasa hasa wa CCM lazima wajue kuwa wanaongoza watu, na watu hao hao ndo wanawafanya wao wawe viongozi hata MAASKOFU ni sehemu ya watu. Maaskofu hawapatikani kwa zengwe kuu kama ilivyo kwa wanasiasa wetu hapa Tanzania.

Nguvu ya watu ya kujikomboa kifikra ndo inaleta haya yote. CCM wamezoea kupeleka mambo vile wao wanaona itakuwa na manufaa kwa mfumo wao wa kiutawala pasipo kujua hii nchi si ya kwao peke yao, Tanzania ni yetu sote.
😛eace:
 
Mary Chitanda is a nut! She is a MONSTER! She must be stopped immediately once and for all!

Huyu mwananke hana adabu kwa kuwakashifu maaskofu. Tayari amekataa kuomba msamaha kwa madai kuwa alichosema ni sahihi!

Huyu mwanamke yaonekana si Mkristo yawezekana hili jina ni la kutafutia mkate tu. I believe ana dini yake mfukoni anayoijua yeye.
Ninachotaka kusema ni kuwa HUYU MAMA TUMPENI JUST SOME FEW DAYS HATUTAMSIKIA TENA!!!!

Huwezi kusababisha DAMU IMWAGIKE NA UTUKANE WATUMISHI WA MUNGU HALAFU UBAKI SALAMA. DAMU ILIYOMWAGIKA 'A TOWN' HAKIKA ITAMTAFUNA HUYU KIGAGULA MPAKA DUNIA IMSAHAU KAMA ALIWAHI KUWEPO MARIA KITANDA.

GOD OF ABRAHAM,GOD OF ISAACK,GOD OF JACOB SHALL DEAL PERPENDICULARLY WITH MARY CHITANDA. SHE IS AN ABOMINATION TO OUR SOCIETY. SHE MUST BE STOPPED IMMEDIATELY BEFORE SHE CREATES ANOTHER DISASTER.
 
Nakushukuru Anold kwa ufafanuzi mzuri kabisa. Hivi lini giza likakaa pamoja na mwanga. Utasikia au tulishaona mtu alie na mapepo yanapowaona maaskofu hata kabla hajaongea utasikia, yanapanda na kumsumbua sana yule aliyenayo wakati mwingine yanamuumiza. Kwahiyo huitaji kuambiwa nani alie na mapepo wakati yanashuhudia maaskofu, watahangaika mno mpaka yatolewe na maaskofu haohao. Amini usiamini, Makamba na Chatanda lazima wawaombe radhi maaskofu other wise hawatakua na amani mioyoni mwao, na baadae laana kwao itajidhihirisha kwa uma.
 
Bila kusoma comments naenda momja kwa moja kwenye tahadhari. Kama tunanaungama na kutubu mbele yao imetokea nini kuwaita mashetani watu unaowasududia> kweli Yuda ni mfano. Yesu alikutufia. Ila nahisi hatrudi tena. Yuda isakaliote MAKAMBA (Kafiri) ni mshindi.
 
CCM wanataka waheshimiwe viongozi wa kiislamu tu. Hao wakisema kila mtu kimya maana wao lao moja tu. Yao yote upangiwa msikitini.:A S-fire1:
 
pamoja mkuu,kati ya wakristo na waislamu nani wanahubiri udini kisiasa???jk,makamo,igp,jaji mkuu,ccm katibu mkuu,kinana nk,wanatupeleka kwenye udini nami naomba sasa 2015 maaskofu wapige kampeni wazi wazi am damn tired with religious politics mana ccm ndo wanaofanya dat stuffff....
 
Umesema vizuri sana. Kwani huyo Chitanda ni dhehebu gani? Na kwanini yeye na familia yake wasitengwe na kanisa kwa kukosa adabu hadi hapo atakapo tubu dhambi zake?

Kwani kanisa likimtenga mtu anakuwa ndiyo kanyanganywa dini? Kama si hivyo anapungukiwa nini katika ibada kwa kutengwa? Kosa kwa binaadamu mwenzio linaweza kumnyima mtu haki ya ibada kwa Mungu wake? Duu unaweza kuachishwa dini kama anavyoachishwa mtu kazi.
 

Huyu Anko Sam anasema kiarabu kinaenda kinyume nyume, hii ni kwasababu kazaliwa kaona watu wanasoma kushoto kwenda kulia basi kingine chochote lazima kiwa kinyume. Atoke shimoni afuatilie vitu ataona hata maisha yake yanajiandika na yanasomwa kulia kwenda kushoto. DNA ambayo ndiyo chip ya maisha ya binaadamu, inajiandika kutoka kulia kwenda kushoto, na kusomwa inasomwa kwa muelekeo huo huo, kama QURAN inavyosomwa. Si hayo tu yako mengi, dunia unayoishi inazunguka katika mhimili wake kutoka kulia kwenda kushoto na ndiyo ukapata majira ya usiku na mchana jua kuchomoza mashariki na kuzama magharibi. Yapo mengi, hakika hapo kuna mambo ya kufuatilia....
 
Mdarasat +hiyo dini=0!wanaijua roma iweje tanzania msiwajue maaskofu??hakuna nchi duniani isiyoendeshwa na ukristo mkubali mkatae ukweli ndiyo huo jiulize nchi zote zenye nguvu kwanini zinaongozwa kikiristu??,hata zakiarabu nowdays zipochiniya imaya yakikiristu!
 

waache akina makamba walewe madaraka kama wamesahau kuwa mtu akilewa huwa nafanya mambo ya aibu bila kujali ni nani anamwangalia kwakuwa watajikuta wakivua nguo zao hadharani wakidhani ni umaarufu eti hawaogopi kitu kama mlevi anavyojisikia fahali kuurinate hadharani
 
Huduma hizo zinazotolewa zinatolewa bure, Hospital, shule na vyote vinavyofanana. Hata kama wanatoa huduma wako kibiashara zaidi kuliko unavyozani, hata hawawezi kugoma kufanya au kusitisha kufanya biashara.
Hebu fikiria, kuna baadhi ya shule, mojawapo Loyola high school, Registration fee ni laki mbili, hilo ni kanisa linasaidia watu, na linaisaidia serikali, niambie ni nani wa kwenda hapo, na hapo wamesamehewa mpaka na hzo kodi, waache kuchonga chonga bwana, ila nao si wasafi kama wanavyojizani au kuzaniwa.
Nawasilisha.
 
Mkuu kwako wewe ni sawa askofu kupanda madbabahuni na kuhubiri mfano jk hafai ameiba kura msimchague mchagueni dr slaa.
Na misikitini waseme mchague jk slaa hafai.
unadhani nini kitakachofuata?

Hapo unawasemea. Ni wapi askofu alisema hivyo. Akisema tumieni kura zenu kuchagua viongozi bora hana maana JK sio bora, na kama JK au mbunge yeyote sio bora basi hastahili kuchaguliwa. Kiongozi wa kiroho ni wa jamii na ana wajibu wa kuelimisha jamii, sio kuchochea chuki.
 

Wanakwenda wengi tu na nafasi hazipatikani. Wale wanaoenda kwenye shule kama hizo wanapunguza msongamanoi kwenye shule za serikali walala hoi wanapata nafasi. Kwa njia hiyo amekusaidia wewe na serikali.
 
hawa watu wnasindwa kutambua hivi zanzibar kuna kiongozi anaeweza kuongoza bila kuwa sambamba na masheee wa huko?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…