DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Nimesikia Leo katika pita pita zangu club moja hivi nikakuta jamaa wanapiga story kuwa eti
Mke wako halali ni yule uliyembikiri au yule uliyekuwa Wa kwanza kujamiiana nae[emoji23] [emoji23]
Na mume ni yule aliyekubikiri
Eti hawa wengine ni mpango B tu!
Imekaaje hii wajuvi Wa mambo
DJ sepetu
Mke wako halali ni yule uliyembikiri au yule uliyekuwa Wa kwanza kujamiiana nae[emoji23] [emoji23]
Na mume ni yule aliyekubikiri
Eti hawa wengine ni mpango B tu!
Imekaaje hii wajuvi Wa mambo
DJ sepetu