The best chance to run from a problem is to go through it.Kilembwe, sometimes is better to run from a problem than speaking with a deaf, dictator like our government. na wakati mwingine unaona bwana mkubwa anapewa tuzo ya utawala bora tena from outside countries, nabaki nashangaa na kushindwa kushangaa
Mnaweza kurudi maeneo ya chuo na kupiga kura mkisubiria vyuo kufunguliwa! msipoteze haki yenu ya kidemokrasia kupiga kura
Asikudanganye mtu kuwa abroad kuna maisha mazuri kama hujajiandaa vizuri utaishia kuosha makalio ya vizee.I hate being tanzanian and live here, am strugling to go and live abroad where life there make sense.
Kuna uthibitiisho kuwa mwaka huu vyuo vikuu vyote vitaanza mwaka wa masomo mpya mwezi wa kumi na moja soon after uchaguzi. wachambuzi wanasema hi ni janja ya CCM kuzuia wanachuo wasipige kura kwani wengi si wana CCM, na wengi wangepigia upinzani. wanajua fika wengi wamejiandikisha maeneo ya chuoni. jamani mbona wanawanyima watu haki ya kupiga kura? I hate being tanzanian and live here, am strugling to go and live abroad where life there make sense.
Si inaruhusiwa kubadili kituo cha kupigia kura? Kama wametangaza mapema hivi, nafikiri kuna muda wa kutosha kuhamisha kituo chako kwenda kule ambako utakuwa wakati huo.
Labda kama hata kuhamisha kituo ni ngumu na hapo wanafunzi tutakuwa tumefungwa goli.
Kuna uthibitiisho kuwa mwaka huu vyuo vikuu vyote vitaanza mwaka wa masomo mpya mwezi wa kumi na moja soon after uchaguzi. wachambuzi wanasema hi ni janja ya CCM kuzuia wanachuo wasipige kura kwani wengi si wana CCM, na wengi wangepigia upinzani. wanajua fika wengi wamejiandikisha maeneo ya chuoni. jamani mbona wanawanyima watu haki ya kupiga kura? I hate being tanzanian and live here, am strugling to go and live abroad where life there make sense.
Duu,Mazee ukimbie nchi yako kisa?acha hizo bana..Tanzania is very beautifull country na ninawashangaa sana watanzania wanaoichukia nchi hii.Hata kama nchi hii unaiona mbaya vipi lakini naamini ukistruggle vya kutosha utakuwa na masiha mazuri tu..Ni watanzania wangapi walioko hapa Tz wanamaisha mazuri na ni watanzania wangapi walioko nchi za watu wanaishi kwa shida pamoja na elimu zao nzuri?..
suala si maisha mazuri GS, the issue is true democracy of the people, being happy, watu wakusikilize. kuna mana gani ya kula kuku kwa mrija huku huna haki ya kumchagua kiongozi umtakaye, husikilizwi shida zako, huna maamuzi yoyote, they just dictate you, do that and so ,and so ..
Duu,Mazee ukimbie nchi yako kisa?acha hizo bana..Tanzania is very beautifull country na ninawashangaa sana watanzania wanaoichukia nchi hii.Hata kama nchi hii unaiona mbaya vipi lakini naamini ukistruggle vya kutosha utakuwa na masiha mazuri tu..Ni watanzania wangapi walioko hapa Tz wanamaisha mazuri na ni watanzania wangapi walioko nchi za watu wanaishi kwa shida pamoja na elimu zao nzuri?..
suala si maisha mazuri GS, the issue is true democracy of the people, being happy, watu wakusikilize. kuna mana gani ya kula kuku kwa mrija huku huna haki ya kumchagua kiongozi umtakaye, husikilizwi shida zako, huna maamuzi yoyote, they just dictate you, do that and so ,and so ..
Mnaweza kurudi maeneo ya chuo na kupiga kura mkisubiria vyuo kufunguliwa! msipoteze haki yenu ya kidemokrasia kupiga kura
Plan B, ambayo ina-apply kwa wote, yaani waliopo karibu na vyuo vyao na wale wataokwenda mbali sana na vyuo vyao; huko mtakako kuwa anzisheni operesheni SIAFU. Mmmeumizwa huku ninyi mnakwenda kutoa darasa la uhakika kote huko mtakakotawanyikia.Msiache Chama cha Mjambazi/mafisadi/mabwanyenye/etc kupumua. Toeni shule ya nguvu kwa vijana nawazee ili nchi itoke kwenye makucha yao.Tanzania ya baadaye inategemea leo tunapinga nini na kuunga mkono nini. Mßatunda yake tutayala, yawe mazuri au mabaya.