Wengi wa wanaotafuta wachumba JF ni waongo.


Bujibuji umejuaje hapo?
 
yawezekana lakini myself niko serious kwa sababu kwangu hii ni comiment.
 
Ninao ushahidi kabisa wa watu waliofanikiwa hapa, mmoja alikuwa ni member na mwingine sio member. Waliwasiliana kwa miezi tisa kabla ya kuonana na baada ya mwaka mmoja ndoa ilifuata. Kwa hiyo wapo watu ambao wapo serious hapa japo sikatai wengine wanafanya utani.
 
Walitambua hil leo...? Au ushalivaa 'chakula'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…