CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
Habari zenu waungwana, leo nimeona nifunguke hapa ili niweze kushea nanyi mambo nilyoyaona baada ya kufanya critical thinking ya hali ya juu
Natambua watu wetu wa intelejensia wameshaliona hili jambo tatizo lipo kwa watanzania wa kawaida, wengi information zao uzipata kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii
Ukweli ni kwamba haya yote yanayotokea hayatokei kwa bahati mbaya, kuna watu wamekubali kutumiwa na mabeberu ili kutuvuluga hasa katika ukanda huu wa Africa mashariki, yaliyotokea Kenya ndio wanataka yatokee Tanzania, kama utakumbuka Rais Ruto halilituhumu shirika moja la wamarekani kua walikua nyuma ya yote yaliyotokea Kenya inasemekana hao jamaa walikua ndio wasuka mipango na wafadhili wa maandamano ya Kenya.
Walijaribu kwa Mseveni Uganda ila jamaa alikua imara wakangonga mwamba, Mseveni aliwashitukia mapema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
Leo wanajaribu Tanzania, yes inawezekana mother alichokikosea ni the way alivyodelivery hotuba yake, na inawezakana alipanic kuona walionyuma ya haya yote ndio hayo mataifa makubwa yanayoipigia chapuo demokrasia, mama anazo information zote za kiintelijensia hivyo anajua mambo mengi.
Kuna watanzania wenzetu wanashirikiana na mabeberu kuivuruga amani ya nchi hii, sipingi watu kufanya maandamano lakini kumbukeni kama kutatokea vurugu mjue kua tunapigana sisi kwa sisi, kwani hao polisi ni ndugu zetu jamaa zetu na watanzania wenzetu hata polisi wanatakiwa kutambua hivyo