UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Mafua Kila Siku Haya Ishi.Nyumba Ina Mavumbi Mibox Ya Nguo Ya Tangu Mwaka 1990 Imo Ndani Viatu Vya Tangu Utoto Vimo Ndani Kwanini Usiugue Mafua?
Acha ubinafs punda ww ngoja nimwambie boss akufukuze kaziKuna kijana hapa ofisini kwangu anamafua unakaribia mwezi sasa alhamisi aliniambukiza nikatumia piriton leo nimekuja mafua yamepona kabisa.
Nimemwambia asiingie ofisini kwangu mpaka apone hayo makamasi yake yasije kuwa mafua ya ndege.
Wewe ni ke ama me?Mafua Kila Siku Haya Ishi.Nyumba Ina Mavumbi Mibox Ya Nguo Ya Tangu Mwaka 1990 Imo Ndani Viatu Vya Tangu Utoto Vimo Ndani Kwanini Usiugue Mafua?
Maelezo meeeeengi hakuna ukweli wowote.Fanyeni utafiti kabla ya kuja na conclusion.Ha ha ha ha ha ulivyoandika utadhani umemlenga mtu m1 tena unayemfahamu vizuri.
Watu wengi wanadhani uchafu ni vile vinavyonuka nuka tu, LA hasha uchafu ni kitu chochote kinachowekwa/kaa pasipo stahili.
Hilo vumbi linapokuwa shambani siyo uchafu Ila pindi linapopatikana ndani ya Nyumba tayari ni uchafu. Unapokaa /hifadhi kitu pasipo kukitumia muda mrefu pia ni uchafu. Vifaa/Nguo usizokuwa na mpango Wa kuzitumia unazitunza za nini.????, gawa au choma moto.. Na kama unataka kuzitunza knn uziweke nje mbali huko kwenye stoo maalum ya kutunzia?.
Unakuwaje na Mafua kwa siku 365?????....hata mwenyewe allergy akikijua kinachomletea allergy anajiepusha nacho.
Usafi Wa mwili na mazingira ni muhimu sana.
Hivi unafikiri wote wanamabosi wewe nguruwe. Subiri siku uje na kacheti kako fake halafu ndio utajua kuheshimu watu hata kama hauwajui.Acha ubinafs punda ww ngoja nimwambie boss akufukuze kazi