"Wengi Wape"...Uamuzi Mzito

umuhimu wa kwanza ni...


  • Total voters
    40

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
...nisaidieni mawazo wanandugu.
Baina ya kipato na familia kwa mtazamo wako, kipi unakipa uzito mkubwa kuliko kingine?...

...kabla wenye muono 'tofauti' hamjanitoa jicho, kipato namaanisha
kazi yenye kipato kikubwa inayonilazimu nikae mbali na familia kiasi cha
kuonana nao wakati wa likizo ya mwezi mmoja, kila baada ya miezi sita au nane.

Mazingira ya kazi hayaruhusu kuishi pamoja na familia.
 
Some will say, kwa kukaa kwako mbali na familia ni katika kuipa kipaumbele familia hiyo

...umeona ee? hapa ndipo panaponiwia ugumu mydear.
Kwa kipato hiko unakidhi mahitaji 'yao' angalau 95% ya kifedha.

Kinachogomba hapa ni ile kukosekana 100% physical presence....!
 
Inategemea Mbu... It is not all black and white... inatakiwa as a parent uwe really Great at balancing priorities....
 
Reactions: Mbu
Pole, Mbu familia bila pesa ni kelele kila siku nenda kafanye kazi chunga usije jenga kibanda huko ukaja lalama ukisha pigwa ban na mama mpigi ukisingizia JF tulishauri. Dereva mzuri ni yule anayechunga usalama wa abiria yake.
 
Reactions: Mbu
Alafu kwenye poll ungetuwekea both Mbu.... Hapo umetufunga kweli yaaani....lol
 
Reactions: Mbu
familia ni muhimu na kipato muhimu pia.....

katika maisha kuna kujisacrifice,kuna wakati inabidi kukaa mbali na familia ili kutafuta kipato cha kustawisha familia. hivyo mie naipa 50% -50% !!! kwangu mie hili linawezekana kama kila mmoja kwenye familia anajitambua, na anatambua sababu ya baba au mama kuwa mbali na familia, mfano baba yupo mwanza kikazi ili kuwezesha familia kustawi, na likizo inapopatikana baba huyo huitumia kikamilifu na familia.

sijui kama nimekujibu sawia au ndo nimekumix

by the way, nimeshindwa kuchagua hapo kwenye poll maana kwangu vyote vinauzito sawa kutegemeana na hitaji la wakati husika
 
Inategemea Mbu... It is not all black and white... inatakiwa as a parent uwe really Great at balancing priorities....

...asante dear sister, ila bado umeniacha njia panda...chukulia mfano ingekuwa ni wewe....ungeamua nini?

(ondoa utegemezi wa spouse hapo)
 
Pole, Mbu familia bila pesa ni kelele kila siku nenda kafanye kazi chunga usije jenga kibanda huko ukaja lalama ukisha pigwa ban na mama mpigi ukisingizia JF tulishauri. Dereva mzuri ni yule anayechunga usalama wa abiria yake.

...umenifunga tena kwenye jibu,....hapo una maanisha familia kwanza kabla ya kipato, si ndio?
Asante, ni maamuzi magumu yanayohitaji hekima.
 
Alafu kwenye poll ungetuwekea both Mbu.... Hapo umetufunga kweli yaaani....lol

...LOL....ningeweka both isingekuwa swali tena, tayari lingekuwa ni jibu.
Poll najua itanisaidia maoni ya wengi, mdahalo utasaidia mchango wa mawazo.
Kiukweli zote ni priority japo KIPATO hakihitaji uwe na familia.
 

...ahsante sana kwa mchango wako mzuri sana. Katika kupanga na kupangua wazo kama lako pia
lilinipitia kichwani, na ndio msimamo wangu nilipogota...


 
sasa mosquito kipato si kwa ajili ya familia? mimi naona hivi vitu viko parallel to each other
maana bila familia usingeitaji kipato
na kipato ndo kinajenga familia
 
Reactions: Mbu
mmh vyote ni muhimu mbu, familia ya muhimu na kipato cha muhimu, na familia bila kipato cha maana mh nakwenyewe pagumu.
so long as unakuwa mbali na familia yako kwa reason kubwa kama iyo aisee me nakupa go ahead cz ni kwa ajili yenu wote hautakuwa uko 4eva ivyo mambo yako yakiwa swa unarudi kwa familia yako ivyo ivyo.
kimjin mjin hii ipo ndugu 2tafanyaje ss.
 
Reactions: Mbu

...asante dear sister, ila bado umeniacha njia panda...chukulia mfano ingekuwa ni wewe....ungeamua nini?

(ondoa utegemezi wa spouse hapo)



Naona kwenye mabano hapo umenieahi....lol...

Well kwa mtazamo wangu what determines kipi kuchukue nguvu zaidi (i.e familia vs kazi) ni hali halisi ya maisha ya hio familia hasa upande wa kipato. Kuna vipato vimetofautiana jinsi na wapi pa kuvipata.... Hii inasumbua saana kwa upande wa wale ambao source za vipato zao ni Career ambayo mara nyingi hua nurtured for a long time na there is no turning back hasa kwenye ma firms na companies...

Mie hapa nimeshindwa kabisa kusema nini bora zaidi... Logically speaking familiy comes first no matter what.... Na family coming first does not neccessarily mean kua wakati woote utakua nao karibu; for saa ingine unakaa nao mbali sababu tu ya kuhakikisha they are getting the best in this world ambayo kila kitu kinauzwa.... na the more expensive services... the best of it.


Realistically speaking aisee.... you have to have money to support your family.... Ndio maana nilisema option ya tatu iwe both...lol
 
Kuna wakati ilinibidi niwe mbali na familia kwa sababu ya shule. Kule nilipokuwepo nilionekana mama mbaya sana kwa sababu niliacha watoto wadogo, nikaenda kutafuta shule. Lakini mimi wakati nafanya hivyo, nilikuwa nafanya kwa ajili ya familia!

Japo umesema kazi, lakini naona inaendana pia hata mambo ya shule, kwa sababu tunaongeza elimu ili pia kipato kiongezeke, japo sio siku zote! Sijaweza kujibu swali kwa sababu vyote muhimu kwangu!
 
sasa mosquito kipato si kwa ajili ya familia? mimi naona hivi vitu viko parallel to each other
maana bila familia usingeitaji kipato
na kipato ndo kinajenga familia

...indeed mydear, vipo parallel ila, ile dhana ya 'anajali pesa kuliko familia' nahisi kama inaingia hapo, au?
ati The Boss unasemaje?


kipato kwanza,familia ndo inafuata

...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…