Wengi wetu hatujuwepo sijui hii, 09/12/1961

Wengi wetu hatujuwepo sijui hii, 09/12/1961

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1084794


Pembeni ya Mwalimu Nyerere ni Bi Titi Mohamed akiwa na maua.
 
Halafu baadae akaja kushtakiwa kwa kosa la uhaini.
Nchi nzito sana hii.
 
Halafu baadae akaja kushtakiwa kwa kosa la uhaini.
Nchi nzito sana hii.
Aliungana na Kambona baadae waliona Eagle ya Julius is too big. Sitaki hata kukumbuka yaliyompta. Ngoja tufurahie uhuru.
 
Aliungana na Kambona baadae walimuona Eagle ya Julius is too big. Sitaji hata kukumbuka yaliyompta. Ngoja tufurahie uhuru.
Zama zile kulikua na siasa za maji taka kuliko hata kipindi hiki.
Historia ya hii nchi imechezewa chezewa sana.
 
Mimi nilikuepo. Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
 
Mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti,
Mchonga alikua hataki kukosolewa, na ukithubutu kumkosoa utaundiwa zengwe mpaka utajuta,
Yeye alijiona ni mkamilifu wa kila kitu yaani watanganyika wote akili zetu zikijumlishwa kwa pamoja zilikua hazifikii hata nusu ya akili yake.
Mzee alikua nuksi sana yule.
 
Back
Top Bottom