Mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti,
Mchonga alikua hataki kukosolewa, na ukithubutu kumkosoa utaundiwa zengwe mpaka utajuta,
Yeye alijiona ni mkamilifu wa kila kitu yaani watanganyika wote akili zetu zikijumlishwa kwa pamoja zilikua hazifikii hata nusu ya akili yake.
Mzee alikua nuksi sana yule.