Wengine wakifurahia Valentine's Day, mimi naugulia maumivu ya kuchapiwa

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Daah maisha siyo fair na wala hayajawahi kuwa fair hata kidogo na hayatawahi kuwa fair hata kidogo as long as tunashaishi wacha tuendelea kuhustle. Si maana yaani bwana mwingine anacheka na wengine wanafurahi, yaani sio poa kabisa.

Si mnakumbuka story yangu ta jana baada ya manzi wangu kuchapwa? Mimi kwa hasira nikaondoka masikani nikaelekea kwa mchepuko wangu Kibaha na sikumpa taarifa kama nafika.

Wakuuu aisee nikaingia ndani, aisee nilichokikuta ndani jamaani duuh! Manzi yangu yupo analiwa miti kwa Ile style ya mbuzi kagoma kwenda, daaaah nililia sana ila cha ajabu msela na manzi yangu hawakushituka hata kidogo.

Ila sasa mimi kinachoniuma ni Ile style ya mbuzi kagoma kwenda, unafikiri wangetumia style nyingine ningeumia? La hasha nikaondoka kwa masikitiko tu.
 
Daah maisha sio fair na wala hayajawahi kuwa fair hata kidogo na hayatawahi kuwa fair hata kidogo as long as tunashaishi wacha tuendelea kuhustle si mna yaani bwana mwingine anacheka na wengine wanafurahi yaani sio poa kabisa

Si mnakumbuka story yangu ta jana baada ya manzi Wangu kuchapwa? Mimi kwa hasira nikaondoka masikani nikaelekea kwa mchepuko wangu kibaha na sikumpa taarifa kama nafika wakuuu aisee nikaingia ndani aisee nilichokikuta ndani jamaani duuh manzi yangu yupo analiwa miti kwa Ile style ya mbuzi kagoma kwenda daaaah nililia sana ila cha ajabu msela na manzi yangu hawakushituka hata kidogo ila sasa mimi kinachoniuma ni Ile style ya mbuxi kagoma kwenda unafikiri wangetumia style nyingine ningeumia? La hasha nikaondoka kwa masikitiko tu.
Pole sana
 
Ukichapiwa mwanamke usitafute mwanamke mwingine

Tafuta kwanza pesa uweze kuzuia mazingira ya kuchapiwa tena

😃😃😃😃
 
Daah maisha siyo fair na wala hayajawahi kuwa fair hata kidogo na hayatawahi kuwa fair hata kidogo as long as tunashaishi wacha tuendelea kuhustle. Si maana yaani bwana mwingine anacheka na wengine wanafurahi, yaani sio poa kabisa.

Si mnakumbuka story yangu ta jana baada ya manzi wangu kuchapwa? Mimi kwa hasira nikaondoka masikani nikaelekea kwa mchepuko wangu Kibaha na sikumpa taarifa kama nafika.

Wakuuu aisee nikaingia ndani, aisee nilichokikuta ndani jamaani duuh! Manzi yangu yupo analiwa miti kwa Ile style ya mbuzi kagoma kwenda, daaaah nililia sana ila cha ajabu msela na manzi yangu hawakushituka hata kidogo.

Ila sasa mimi kinachoniuma ni Ile style ya mbuzi kagoma kwenda, unafikiri wangetumia style nyingine ningeumia? La hasha nikaondoka kwa masikitiko tu.
Siku nyingine unapoenda utoe taarifa sio kuvamia tu
 
Itakuwa una pepo la kuchapiwa wewe. Kwa speed hiyo unaweza kuta hata mkono wako ukakusaliti kwa kupigisha nyeto mtu mwingine😀😀.

Achana na mademu/ngono kwa sasa.
 
Back
Top Bottom