Wengine wanapata ajira kwasababu ya urembo na ukubwa wa makalio

RIGHT MARKER

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
129
Reaction score
473
MHADHARA (102)✍️
Mpaka sasa kuna makampuni makubwa yana "Wasimamizi na Maafisa waajiri wa hovyo" ambao wanaajiri wanawake wenye sura nzuri (warembo) na makalio makubwa hata kama wana changamoto ya vigezo vya kitaaluma.

Wanawake ambao wana "sura za baba zao" na wasiokuwa na makalio makubwa hawapewi kipaumbele kwenye makampuni yenye "wasimamizi wa hovyo" hata kama wamekidhi vigezo vya kitaaluma.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM.
 
Naona umekata tamaa, nakushauri pitia Mloganzila kwanza wakuongezee kisha kaombe hiyo kazi.
 
Wanawake ambao wana "sura za baba zao" na wasiokuwa na makalio makubwa hawapewi kipaumbele kwenye makampuni yenye "wasimamizi wa hovyo" hata kama wamekidhi vigezo vya kitaaluma.
Kuna ambao wanapata ajira kisa ni Makada wa CCM, hovyo Kabisa
 
Hasa wale wanaofanya kazi sheli, reception, customer care na masecretary.
 
Back
Top Bottom