MHADHARA (102)✍️
Mpaka sasa kuna makampuni makubwa yana "Wasimamizi na Maafisa waajiri wa hovyo" ambao wanaajiri wanawake wenye sura nzuri (warembo) na makalio makubwa hata kama wana changamoto ya vigezo vya kitaaluma.
Wanawake ambao wana "sura za baba zao" na wasiokuwa na makalio makubwa hawapewi kipaumbele kwenye makampuni yenye "wasimamizi wa hovyo" hata kama wamekidhi vigezo vya kitaaluma.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM.