Njaa haina baunsa, huyo wenje alitaka kuiuza chadema yote mikononi mwa Abdul....aliposhtukiwa ndio ikawa mwanzo wa safari yske kuelekea ccm na sasa amedhihirisha rasmi!,Wanasiasa hamuaminiki kiukweli Leo hivi kesho vile ..
Ana mfumo mpana kiasi gani, aisee???....mikononi mwa...
Kukosoa chama wakati umekihama kunasaidia nini? Ilibidi ukosoe wakati ukiwa ndani ya chama. Kwa sasa endelea na chama unachokiona kinakufaa na usiingilie chama kisichokuhusu.Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, amesema kuwa Chama Chake Cha Zamani Kwa sasa ni kimebaki kama NGOs
Wenje ameyasema hayo Leo Oct 16,2025 katika Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mkoani Kagera kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 ya Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan
Aidha Wenje amesema kuwa hakuna Nchi nyingine ya Watanzania hivyo wawapuuze watu hao ambao wanahamasisha machafuko.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, amesema kuwa Chama Chake Cha Zamani Kwa sasa ni kimebaki kama NGOs