Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Ezekia Wenje amepiga mahesabu yanayoonyesha kuwa Freeman Mbowe ataibuka na ushindi mkubwa dhi ya Tundu Lissu katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa taifa unaotegemewa kufanyika hivi karibuni. Kwa kujiamini amesema katika wenyeviti wa kanda nane, tisa wamejitokeza hadharani kumuunga mkono Mbowe na kwa upande wa mikoa, wenyeviti wa mkoa watatu tu ndio hawamuungi mkono Mbowe.