WENJE: KUBAGAZA MARIDHAINO NI UCHURO-WANACHEMA 400 WALITOKA JELA KWA SABABU YAKE

Wewe ni mropokaji
 
Muambieni wenje aache tabia ya kunywa visungura na kwenda kufanya press conference
 
Lisu jana kalitolea ufafanuzi jambo hilo kasema hakuna jambo lolote ambalo liko kwenye mariziano lililokubaliwa na selekali kuachiwa kwa wafungwa wa kisiasa nnchi nzima ni baada ya kamati kuu chadema kuiambia selekali ili tuje kukaa na nyinyi kwenye mariziano wafungwa na mahabusu wa kisiasa nnchi nzima waachiwe huru ndio tutakaa kuriziana ndio wakawatowa mpaka na mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…