kasyabone tall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2009
- 254
- 63
Wakuu wa Chadema wote wako kamili mwanangu!...Marando ndo Mwanaizaya zaidi, utadhani wa mama mmoja wote!..Usipate shida Nyamagana ni yetu!
kwa sasa ccm wana Riz 1 na mama hatoki mtu hapo!Nakumbuka enzi zile kama kuna sehemu mambo yanakuwa yamebana CCM walikuwa wanampeleka Mzee Malecela aka Tingatinga kusawazisha. Kwa Chadema nao wanao Troubleshooters kama mpiganaji Marando aka Che Guevara anakwenda sawazisha mambo!!!
Hapo mtu mzima Masha naona anaelekea kustaafishwa
kwa sasa ccm wana Riz 1 na mama hatoki mtu hapo!
kwa sasa ccm wana Riz 1 na mama hatoki mtu hapo!
kwa sasa ccm wana Riz 1 na mama hatoki mtu hapo!