Pre GE2025 Wenje: Mwaka 2020 tulimpitisha Lissu kwenye Urais kwasababu anafanana na Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Inawezekana wenje anafanya makusudi ili achukuliwe hatua za kinidhamu baada ya kuona hawezi kupambana na heche.
Most unlikely aisee, at this level upepo wa lissu ni mkubwa. Before wenje hajachukuliwa hatua , lissu angetakiwa wchukuliwe hatua
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Wenje amesema Magufuli alikuwa ni Kiongozi mwenye uwezo wa Aina yake hivyo ukitaka kumshinda Kwenye uchaguzi ni lazima umpelekee MTU wa aina yake lakini anayemzidi uwezo Kwa kiasi fulani

Hivyo ndani ya Chadema hapakuwepo na hakunaga MTU mwingine wa aina hiyo zaidi ya Mh Tundu Lisu ndio sababu tumpitisha Kwa karibia 95% ya kura

Wenje alikuwa akihojiwa na Charles William Kwenye Kipindi Cha One on One

Jumaa Mubarak

RIP Shujaa Magufuli 🌹
 
Ukiona viongozi wa Chama wanaanza kuongea hivyo ujue chama kimefirisika. Haya ndiyo maneno aliyokua anaongea Makamba Mkubwa alivyokua katibu wa CCM; uongo uongo; na "kuji-malaya-isha" kwa Mwenyekiti ili tumbo lishibe.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Wenje amesema Magufuli alikuwa ni Kiongozi mwenye uwezo wa Aina yake hivyo ukitaka kumshinda Kwenye uchaguzi ni lazima umpelekee MTU wa aina yake lakini anayemzidi uwezo Kwa kiasi fulani

Hivyo ndani ya Chadema hapakuwepo na hakunaga MTU mwingine wa aina hiyo zaidi ya Mh Tundu Lisu ndio sababu tumpitisha Kwa karibia 95% ya kura

Wenje alikuwa akihojiwa na Charles William Kwenye Kipindi Cha One on One

Jumaa Mubarak

RIP Shujaa Magufuli 🌹
Kuna Uzi wangu upo humu jf uliwafananisha hao mashujaa wa wajinga waweza kusoma hapa Ikitokea bahati mbaya mtu kama Lissu na wafuasi wake wa Itikadi kali anakuwa Rais, tutarajie hali ya vyuma kukaza kama awamu ya Magufuli
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Wenje amesema Magufuli alikuwa ni Kiongozi mwenye uwezo wa Aina yake hivyo ukitaka kumshinda Kwenye uchaguzi ni lazima umpelekee MTU wa aina yake lakini anayemzidi uwezo Kwa kiasi fulani

Hivyo ndani ya Chadema hapakuwepo na hakunaga MTU mwingine wa aina hiyo zaidi ya Mh Tundu Lisu ndio sababu tumpitisha Kwa karibia 95% ya kura

Wenje alikuwa akihojiwa na Charles William Kwenye Kipindi Cha One on One

Jumaa Mubarak

RIP Shujaa Magufuli 🌹
Wenje hapa ameniacha hoi kwa kweli. Alirukaruka wee kutafuta namna nzuri lakin bado haikufaa.
 
Sio tena kwasababu Lissu anauwezo wa "kuropoka"?🤔
 
Back
Top Bottom