Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Inawezekana wenje anafanya makusudi ili achukuliwe hatua za kinidhamu baada ya kuona hawezi kupambana na heche...Lissu kawashika pabaya.
Most unlikely aisee, at this level upepo wa lissu ni mkubwa. Before wenje hajachukuliwa hatua , lissu angetakiwa wchukuliwe hatuaInawezekana wenje anafanya makusudi ili achukuliwe hatua za kinidhamu baada ya kuona hawezi kupambana na heche.
Inawezekana wenje anafanya makusudi ili achukuliwe hatua za kinidhamu baada ya kuona hawezi kupambana na heche.
Kwa hiyo EL alikuwa Ni Mtu anaye fanana na Magufuli alivyogombea 2015Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amesema "Hii ya (Lissu) kuombea Urais, unapokuwa na mgombea wa aina ya Magufuli, tunajua Magufuli alivyokuwa inabidi upeleke mtu anayefanana nae tabia zake"
View attachment 3197001
Pia, Soma
- Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
- Ezekia Wenje: Abdul bado ni rafiki yangu, si ajabu mimi kuwa na marafiki waliopo CCM
Ukiona viongozi wa Chama wanaanza kuongea hivyo ujue chama kimefirisika. Haya ndiyo maneno aliyokua anaongea Makamba Mkubwa alivyokua katibu wa CCM; uongo uongo; na "kuji-malaya-isha" kwa Mwenyekiti ili tumbo lishibe.Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Wenje amesema Magufuli alikuwa ni Kiongozi mwenye uwezo wa Aina yake hivyo ukitaka kumshinda Kwenye uchaguzi ni lazima umpelekee MTU wa aina yake lakini anayemzidi uwezo Kwa kiasi fulani
Hivyo ndani ya Chadema hapakuwepo na hakunaga MTU mwingine wa aina hiyo zaidi ya Mh Tundu Lisu ndio sababu tumpitisha Kwa karibia 95% ya kura
Wenje alikuwa akihojiwa na Charles William Kwenye Kipindi Cha One on One
Jumaa Mubarak
RIP Shujaa Magufuli 🌹
Kuna Uzi wangu upo humu jf uliwafananisha hao mashujaa wa wajinga waweza kusoma hapa Ikitokea bahati mbaya mtu kama Lissu na wafuasi wake wa Itikadi kali anakuwa Rais, tutarajie hali ya vyuma kukaza kama awamu ya MagufuliMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Wenje amesema Magufuli alikuwa ni Kiongozi mwenye uwezo wa Aina yake hivyo ukitaka kumshinda Kwenye uchaguzi ni lazima umpelekee MTU wa aina yake lakini anayemzidi uwezo Kwa kiasi fulani
Hivyo ndani ya Chadema hapakuwepo na hakunaga MTU mwingine wa aina hiyo zaidi ya Mh Tundu Lisu ndio sababu tumpitisha Kwa karibia 95% ya kura
Wenje alikuwa akihojiwa na Charles William Kwenye Kipindi Cha One on One
Jumaa Mubarak
RIP Shujaa Magufuli 🌹
Wenje hapa ameniacha hoi kwa kweli. Alirukaruka wee kutafuta namna nzuri lakin bado haikufaa.Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Wenje amesema Magufuli alikuwa ni Kiongozi mwenye uwezo wa Aina yake hivyo ukitaka kumshinda Kwenye uchaguzi ni lazima umpelekee MTU wa aina yake lakini anayemzidi uwezo Kwa kiasi fulani
Hivyo ndani ya Chadema hapakuwepo na hakunaga MTU mwingine wa aina hiyo zaidi ya Mh Tundu Lisu ndio sababu tumpitisha Kwa karibia 95% ya kura
Wenje alikuwa akihojiwa na Charles William Kwenye Kipindi Cha One on One
Jumaa Mubarak
RIP Shujaa Magufuli 🌹