Uchumi TV
Member
- Apr 11, 2023
- 33
- 31
Katika mahojiano yaliyofanywa kati ya kituo kimoja cha TV mtandao na kiongozi wa Chadema kanda ya ziwa Ezekiel Wenje na chief kalumuna wa chadema kagera ni kywa wamekubalina na polisi juu ya kulinda maandamano yao ya april 22 mjini bukoba na kuwa njia walizoruhusiwa kupita ni kutoka kashai kupitia mjini Bukoba hadi uwanja wa uhuru ambapo mwenyekiti wa chadema atahutubia pamoja na kuyaongoza.
View: https://www.youtube.com/watch?v=Rr_Ga_ouKRo
View: https://www.youtube.com/watch?v=Rr_Ga_ouKRo