Ikumbukwe Wenje alikuwa team Lisu hadi pale alipoenda Nyumbani Kwa Lisu akiwa ameongozana na Dulla Ili amsaliti
Kama Lisu asingemkazia basi Wenje angekuwa team Lisu hadi Leo
Freeman Mbowe Kwa Utu uzima wako nakushauri uwe makini sana na UTATU wa Wenje, Ntobi na Yeriko
Nawatakia Dominica NJEMA 🌹