Pre GE2025 Wenje: Nawasihi Wapambe wa Mbowe na Lissu waache Matusi kwani kuna maisha baada ya Uchaguzi, Mimi ni sehemu ya family ya Lissu, Wasituchonganishe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa chadema Kanda ya Victoria Mh Wenje amewataka wafuasi wa Mbowe na LISU kuacha Matusi kwa sababu hayasaidii chochote kwa mgombea wako

Wenje amewataka hao Machawa wakome kumgombanisha na Tundu Lisu kwa sababu Hawajui mahusiano yao

Wenje anesema Lisu alishafika hadi kijijini kwao na Yeye Wenje ameenda kijijini kwa akina Lisu Mara nyingi na ni sehemu ya familia ya akina Mughwahi

Source: Mwananchi

Kwako Ntobi, Yeriko na Boni Yai

Mlale unono 😀
 
😂😂😂😂😂😂 Ila wanasiasa ,Kwa hyo kwenda kijijin kwao ndio kumanishaàaa....
 
Njia nzuri ya kumuua adui ni kumfanya rafiki
 
Mwenyekiti wa chadema Kanda ya Victoria Mh Wenje amewataka wafuasi wa Mbowe na LISU kuacha Matusi kwa sababu hayasaidii chochote kwa mgombea wako

Wenje amewataka hao Machawa wakome kumgombanisha na Tundu Lisu kwa sababu Hawajui mahusiano yao

Wenje anesema Lisu alishafika hadi kijijini kwao na Yeye Wenje ameenda kijijini kwa akina Lisu Mara nyingi na ni sehemu ya familia ya akina Mughwahi

Source: Mwananchi

Kwako Ntobi, Yeriko na Boni Yai

Mlale unono
 
Hii mbuzi Wenje ilibaki kidogo auze Kura zetu kwa Masha!
Jamaa siasa zake ni za mlengo wa TUMBO
 
Ni matengenezo kuelekea kumpata mwenyekiti mpya
 
Wenje anesema Lisu alishafika hadi kijijini kwao na Yeye Wenje ameenda kijijini kwa akina Lisu Mara nyingi na ni sehemu ya familia ya akina Mughwahi
Haya sasa inaanza kuwa clear
Naanda kuona like poles za sumaku zikifanya kazi yake
 
Wenje amewataka hao Machawa wakome kumgombanisha na Tundu Lisu kwa sababu Hawajui mahusiano yao
Kauli hii ina mambo mawili
  1. Huenda ameona upepo hauvumi vilivyo
  2. Kuna jambo anataka kumfanyia Lissu anatafuta mbinu ya kumnasa
 
Mwenyekiti wa chadema Kanda ya Victoria Mh Wenje amewataka wafuasi wa Mbowe na LISU kuacha Matusi kwa sababu hayasaidii chochote kwa mgombea wako

Wenje amewataka hao Machawa wakome kumgombanisha na Tundu Lisu kwa sababu Hawajui mahusiano yao

Wenje anesema Lisu alishafika hadi kijijini kwao na Yeye Wenje ameenda kijijini kwa akina Lisu Mara nyingi na ni sehemu ya familia ya akina Mughwahi

Source: Mwananchi

Kwako Ntobi, Yeriko na Boni Yai

Mlale unono 😀
Mbona na yeye dalali Wenje amemshambulia sana Lissu? Tarehe 21 January ndiyo mwisho wa huu upuuzi.
 
Back
Top Bottom