johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ππππππ Ila wanasiasa ,Kwa hyo kwenda kijijin kwao ndio kumanishaΓ aa....Wenje anesema Lisu alishafika hadi kijijini kwao na Yeye Wenje ameenda kijijini kwa akina Lisu Mara nyingi na ni sehemu ya familia ya akina Mughwahi
Mwenyekiti wa chadema Kanda ya Victoria Mh Wenje amewataka wafuasi wa Mbowe na LISU kuacha Matusi kwa sababu hayasaidii chochote kwa mgombea wako
Wenje amewataka hao Machawa wakome kumgombanisha na Tundu Lisu kwa sababu Hawajui mahusiano yao
Wenje anesema Lisu alishafika hadi kijijini kwao na Yeye Wenje ameenda kijijini kwa akina Lisu Mara nyingi na ni sehemu ya familia ya akina Mughwahi
Source: Mwananchi
Kwako Ntobi, Yeriko na Boni Yai
Mlale unono
Mwamba hauziki tenaHuyo dalali anajikosha!
Haya sasa inaanza kuwa clearWenje anesema Lisu alishafika hadi kijijini kwao na Yeye Wenje ameenda kijijini kwa akina Lisu Mara nyingi na ni sehemu ya familia ya akina Mughwahi
Kauli hii ina mambo mawiliWenje amewataka hao Machawa wakome kumgombanisha na Tundu Lisu kwa sababu Hawajui mahusiano yao
Mbona na yeye dalali Wenje amemshambulia sana Lissu? Tarehe 21 January ndiyo mwisho wa huu upuuzi.Mwenyekiti wa chadema Kanda ya Victoria Mh Wenje amewataka wafuasi wa Mbowe na LISU kuacha Matusi kwa sababu hayasaidii chochote kwa mgombea wako
Wenje amewataka hao Machawa wakome kumgombanisha na Tundu Lisu kwa sababu Hawajui mahusiano yao
Wenje anesema Lisu alishafika hadi kijijini kwao na Yeye Wenje ameenda kijijini kwa akina Lisu Mara nyingi na ni sehemu ya familia ya akina Mughwahi
Source: Mwananchi
Kwako Ntobi, Yeriko na Boni Yai
Mlale unono π