Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje amesema safari ya siasa kama maisha ya mwanadamu akibainisha kuwa kuna wakati kwenye maisha unapita kwenye mawimba na kwamba chadema wako kwenye kipindi cha mpito.
Pongezi kwa Wenje, siyo wale Hungry Dogs (HD55), ambao baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya ulaji, wanaanza vioja eti wanatengwa!! Wametengwa katika nini?