Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Wenye mimi namuona ni mtu asiyekuwa na msimamo saaana hata mawazo yake ni ya kuegamia. Watu wamempigia kura kutaa kuitoa CCM madarakani na kwa kutumia Nguvu ya Dr. Slaa. kwa bahati hiyo naomba usiende kuharibu chama na ukafanye kazi sio mchezo mchezo hapa. Maana tunajua CCM days are numbered.
Thanks Kasheshe.... Yani ningekua na uwezo ningeweka hata font 20.... huo ndio ukweli, some of us huwa tunapita kama kenge ndani ya msafara wa MambaNdugu hata 2005 JK alibeba wengi sana... ndio hawa wanaangushwa leo... hivyo ni kweli wapo wengi watapita kwa Mgongo wa Slaa, hivyo waje kufanya kazi na sio zaidi ya hapo.
Chamaana sana ni kuwa chama kama chama lazima kiwe na utaratibu wa kuwa update wabunge wake juu ya utendaji na uadilifu. kwa sababu kama haitakuwa hivi basi hatutapata mabadiliko ya kweli. Hii ni hatua na siyo kwamba tumepita
Thanks Kasheshe.... Yani ningekua na uwezo ningeweka hata font 20.... huo ndio ukweli, some of us huwa tunapita kama kenge ndani ya msafara wa Mamba
Namshukuru Mungu kwa matokeo yanaendelea kutoa, na kikubwa zaidi, bila kujali matokeo rasmi, Slaa aemonyesha kwamba ni chuma cha pua
CCM walijiandaa kuwa na dola miaka mitano iliyopita, na KJ alikua anawaza baraza la mawaziri mwezi wa tatu, lakini leo hii presha inapanda, na presha inashuka
liwalo na liwe.... ujumbe kwa mafisadi umefika
mfano Tunao, Tarime. Mwera alibweta. Vijana wamepinga chini. Hapendwi mtu bali wajibu. fanyaAkiboronga wengine watampiku ndiyo maana ya siasa za ushindani......
Ndugu hata 2005 JK alibeba wengi sana... ndio hawa wanaangushwa leo... hivyo ni kweli wapo wengi watapita kwa Mgongo wa Slaa, hivyo waje kufanya kazi na sio zaidi ya hapo.
Thanks Kasheshe.... Yani ningekua na uwezo ningeweka hata font 20.... huo ndio ukweli, some of us huwa tunapita kama kenge ndani ya msafara wa Mamba
Namshukuru Mungu kwa matokeo yanaendelea kutoa, na kikubwa zaidi, bila kujali matokeo rasmi, Slaa aemonyesha kwamba ni chuma cha pua
CCM walijiandaa kuwa na dola miaka mitano iliyopita, na KJ alikua anawaza baraza la mawaziri mwezi wa tatu, lakini leo hii presha inapanda, na presha inashuka
liwalo na liwe.... ujumbe kwa mafisadi umefika
Inabidi tutafute semina ya ukweli kwa wabunge wa CHADEMA sio ile ya Ngurudoto 1 & 2