B bojuka Senior Member Joined Sep 9, 2010 Posts 128 Reaction score 1 Nov 1, 2010 #21 huo ndio msimamo wa wana jf wote wenye nia ya mabadiliko a ukweli tunataka waende bungeni wakafane kazi ya wananchi waliowatuma ni ushaai wa bure wanapewa.
huo ndio msimamo wa wana jf wote wenye nia ya mabadiliko a ukweli tunataka waende bungeni wakafane kazi ya wananchi waliowatuma ni ushaai wa bure wanapewa.
N nyuki dume JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 435 Reaction score 34 Nov 1, 2010 #22 Masha amepata alichokimbia alipotangazwa CCM Kirumba amepita bila kupigwa