Wenje, utetezi wako kwenye interview na Prince Aloys Nyanda unatufanya wadadisi tuunganishe dots

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
4,618
Reaction score
4,605
Mara paap ghafula bin vuu unakutana na Abdul ,mtoto wa Rais somewhere kwenye function tusikokujua sisi watazamaji kufumba na kufumbua ukataladadi umekaa na kijana amevaa kanzu.wewe Wenje mara kutambulishana unagundua ni Abdul mtoto wa Raisi wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Hee na namba mkabadirishana. Within no time ukamuulliza kuhusu pesa za Lissu. Kwa muda huo huo ukanegotiate Abdul asaidie kupatikana kwa pesa za Lissu na bado mkiwa kwenye function unampigia Lissu. Nawaza tu ulivyo jasiri na smart.

Wenje unaendelea kutoa maelezo kuwa mlikubaliana kukutana mahala ila kwa kuwa Mh Lissu aliugua akawaomba mkutane na mtoto wa Rais nyumbani kwa TAL. Umeendelea kumwagia sifa mtoto huyo wa Rais kuwa ni very humble, kwamba ana gesture ya aina yake.

Ndg wenje kuna kipindi mwandishi kakuhoji kuwa wewe ni dalali kujiweka kati ila utetezi wako unashuka nao ulalo ulalo kwamba huwezi kuikwepa influence ya mtoto wa raisi hasa suala mlinapokuwa limekwama ukitolea mfano wa Donald Trump na Elon Musk. Hata ukamtaja Evanka kuwa ni mifano ambayo unalinganisha na kitendo ulichokifanya.

Wenje wewe ni mmoja wa watu wenye high profile kwa chama chako na si ajabu mkipata nchi utakuwa na position at the same time unaona kujuanajuana na influence ni haki kwenye nchi yetu japo watanzania wanakichukia hichokitendo unachokipigia debe.namaanisha kitendo cha kufanya mambo kwa kujuana juana.maana yake asiyekuwa na uwezo wa kuattend functions atasaidikaje.

Abdul amepigiwa kelele na watanzania si mara moja kuwa ana tabia za akina Rostam and co .Mwl Nyerere aliwahi kusema kuwa mfalme hatakiwi hata kuhisiwa kwenye mambo yasiyo faa. umetolea mfano Donald Trump. Huyu kila mmoja anajua kona kona zake, ati ndo mfano wa udalali uliojivisha.na huyu kijana unaemsema amepigiwa kelele si kuanzia kwenye huo so called udalali ulioufanya.kijana anasemwa kugawa pesa ila pia siku alionekana amepiga kishoka na Mseveni kwenye issue za kitaifa.

Sasa wewe kama high profile ndani ya chama chako unanipa mashaka kuwa mkishika nchi tutakuwa tupepigwa maana unaonekana ni mpiga deal wa kiwango cha SGR.

Waziri mkuu wa uingereza hivi karibuni ilibidi kujitetea kwa kumpangishia mwanae nyumba ili afanye mitihani ya kidato cha nne . kwa nini usitoe mifano ya serious leaders unatuletea futuhi za Donald Trump. Watanzania tunataka leaders wasiokuwa questionable kwa mambo yao. issue yako ni questionable, kijana wako questionable na uliowaquote kama mifano yako ni questionable.

BAADA YA KUCONNECT DOTS ZANGU NAKATAA UTETEZI WAKO. NGOJA TUSUBIRI DOTS ZA WANAJAMVI MAANA PAMEANZA KUCHANGAMKA.
 
Mnaongea mengi! Msikilize Lissu na uridine kusoma hui uzi, utaona wenje ni mkweli

..Wenje hakumbuki walikutana na Abdul katika event / function gani.

..lakini anakumbuka mlolongo mzima wa matukio na tarehe mpaka kwenda na Abduli nyumbani kwa Lissu.

..Wenje hakumbuki ni nani alimtambulisha kwa Abduli.

..mwisho Wenje anadai kwenye nchi kama Tanzania unahitaji kuwajua watu kama Abduli.
 
Back
Top Bottom