M Mpigania haki Member Joined Apr 10, 2011 Posts 53 Reaction score 16 Sep 29, 2011 #1 Eti jaman wa2 wa igunga mpiganaji ezekiel wenje yupo huko? Au yupo wapi? Mbn cjamsikia kwny kampeni igunga?
Eti jaman wa2 wa igunga mpiganaji ezekiel wenje yupo huko? Au yupo wapi? Mbn cjamsikia kwny kampeni igunga?
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 Sep 29, 2011 #2 inategemea na vyanzo vyako vyahabari mfano unategemea tbc na ipp hapo hupati kitu tafuta makamanda walioko huko..
inategemea na vyanzo vyako vyahabari mfano unategemea tbc na ipp hapo hupati kitu tafuta makamanda walioko huko..
only83 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 5,343 Reaction score 2,527 Sep 29, 2011 #3 Mpigania haki said: Eti jaman wa2 wa igunga mpiganaji ezekiel wenje yupo huko? Au yupo wapi? Mbn cjamsikia kwny kampeni igunga? Click to expand... Nadhani hatakuwa ameenda..maana karibu vijana wote wa CDM wako kule...
Mpigania haki said: Eti jaman wa2 wa igunga mpiganaji ezekiel wenje yupo huko? Au yupo wapi? Mbn cjamsikia kwny kampeni igunga? Click to expand... Nadhani hatakuwa ameenda..maana karibu vijana wote wa CDM wako kule...
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Sep 29, 2011 #4 Mpigania haki said: Eti jaman wa2 wa igunga mpiganaji ezekiel wenje yupo huko? Au yupo wapi? Mbn cjamsikia kwny kampeni igunga? Click to expand... uandishi wako mbovu upeleke facebook. Mbn=?. Kwny=? Cjamsiki=?. Wa2=? Shame on You!
Mpigania haki said: Eti jaman wa2 wa igunga mpiganaji ezekiel wenje yupo huko? Au yupo wapi? Mbn cjamsikia kwny kampeni igunga? Click to expand... uandishi wako mbovu upeleke facebook. Mbn=?. Kwny=? Cjamsiki=?. Wa2=? Shame on You!
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 51,303 Reaction score 40,190 Sep 29, 2011 #5 Lazima atakuwepo nafasi ya kuonge ni ndogo halafu kama unamvyojua Wenje ana Mvuto ni Mkenya. Mpigie simu Regia Mtema mama wa Maandamano umuulize namba chukuwa kwa Feedback
Lazima atakuwepo nafasi ya kuonge ni ndogo halafu kama unamvyojua Wenje ana Mvuto ni Mkenya. Mpigie simu Regia Mtema mama wa Maandamano umuulize namba chukuwa kwa Feedback
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,973 Reaction score 9,572 Sep 29, 2011 #6 Crashwise said: inategemea na vyanzo vyako vyahabari mfano unategemea tbc na ipp hapo hupati kitu tafuta makamanda walioko huko.. Click to expand... Mkuu Mpigania Haki ni mfuasi wa kile chama kinachosemaga hakiii!!
Crashwise said: inategemea na vyanzo vyako vyahabari mfano unategemea tbc na ipp hapo hupati kitu tafuta makamanda walioko huko.. Click to expand... Mkuu Mpigania Haki ni mfuasi wa kile chama kinachosemaga hakiii!!