GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna muda GENTAMYCINE japo najulikana na sifichi kuwa Mimi ni mwana Simba SC kwa 100% huwa naweka pembeni Utani wangu kwa Yanga FC na kuwa Mkweli na Mwanamichezo ila wana Yanga FC Walioanza Kufuatilia Mpira kipindi cha Kocha Jose Mourinho alipokuwa na Chelsea yenye Mafanikio huwa ama hawanielewi au wanajilazimisha tu Kutonielewa.
Yaani kabisa Simba SC niijuayo Mimi imuache / imteme Mchezaji baada ya Kumuona hafai halafu afae Kwako? GENTAMYCINE nilisema hapa hapa JamiiForums kuwa Sajili zote za Yanga FC kwa Wachezaji waliotokea Simba SC (hasa kwa Kutemwa / Kuachwa) zilikuwa ni za Kimihemko zaidi na kamwe hazikuwa za Kiufundi nilitukanwa na kupuuzwa sana hapa. Je, leo niliyoyaona Kitambo hayajatimia?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Oky?