J jamshidamri Member Joined Aug 27, 2015 Posts 79 Reaction score 27 Mar 26, 2016 #1 jamani vijana wenzangu tuna changamoto nyingi ila tukishirikiana tunaweza km kuna mtu ana biashara ila anatafuta mtu wa kushirikiana nae plz niPM
jamani vijana wenzangu tuna changamoto nyingi ila tukishirikiana tunaweza km kuna mtu ana biashara ila anatafuta mtu wa kushirikiana nae plz niPM
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,047 Mar 26, 2016 #2 Ungeeleza jinsia yako na mahali ulipo ingekuwa poa
J jamshidamri Member Joined Aug 27, 2015 Posts 79 Reaction score 27 Mar 29, 2016 Thread starter #3 Pritty wa joseph said: Ungeeleza jinsia yako na mahali ulipo ingekuwa poa Click to expand... nipo dar na ni ME...kwani jinsia ni muhimu au...?
Pritty wa joseph said: Ungeeleza jinsia yako na mahali ulipo ingekuwa poa Click to expand... nipo dar na ni ME...kwani jinsia ni muhimu au...?
Legacy Impresion Company Member Joined Feb 16, 2016 Posts 42 Reaction score 88 Mar 29, 2016 #4 Ha ha haaaa.....