CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424

Tatizo kama hili liliikumba Nigeria miaka ya late 1980's ilianza kutoa output kubwa ya graduates kuliko uwezo wa kuajiri. Matokeo yake ni utapeli, unabii wa uongo, usanii wa kujiaibisha kama vile comedy, uuzaji na utumiaji wa MIHADARATI a.k.a NDUMU bin GANJA, n.k.
dah,mkuu unantisha sana sababu nimepangwa bcom,ni kweli hayo unayoyaongea mkuu?
Inaelekea hujui hata unachoongea. Hebu jaribu kupitia course outline za Political science hapo Mlimani uone ninio wanafundishwa!!!! By the way inaelekea hujui kama Political Science ni somo moja la kufundishia na linasomwa na watu wanaochukua B.A Ed.

sa si bora hata hao wa bcom m2 anasoma public administration,human resources,community dvt na political sciance cjui wao hata kama hzo dili za kufundsha watazpata.

Inaelekea hujui hata unachoongea. Hebu jaribu kupitia course outline za Political science hapo Mlimani uone ninio wanafundishwa!!!! By the way inaelekea hujui kama Political Science ni somo moja la kufundishia na linasomwa na watu wanaochukua B.A Ed.
hatimaye Tanzania aft 5 yearz to come watu wenye degree hawatapata ajira wataishia kufundisha shule na nchi itakuwa pabaya hi ni kutokana na output ya graduates kwa wingi
Nilisoma zamani mdogo wangu, nilikuwa nakufungua macho uwe unajua na wenzio wanasoma vitu gani

vp mkuu,nawe unaipga hyo mambo nin?
hatimaye Tanzania aft 5 yearz to come watu wenye degree hawatapata ajira wataishia kufundisha shule na nchi itakuwa pabaya hi ni kutokana na output ya graduates kwa wingi
ukiona hivyo alikosa/kakosa vigezo.Sa mbona umetolea mfano bcom na sheria 2,fani zngne kwan hazna wa2?