Wenye dhambi nzito tukutane hapa

Neno linasema dambi zenu zijapokuwa nyekundu kama bendera zitakuwa nyeupe kama theluji, ukiomba toba ya kweli Mungu ni mwaminifu.

Nenda katubu dhambi zako, omba msamaha na rehema ya kweli utasamehewa. Mpendwa rudi kwa Bwana, Yesu ameshinda yote msalabani.
 
Mungu anakupenda na ameisha kukusamehe dhambi zako zote, mimi pia ninazo zangu ila siwezi kuziandika kwasababu Mungu alisha nisamehe na hazikumbuki tena.
 
Mm wiki ilopita nlilewa nkachukua mlaya na tako blaaa si kufika kanipa ky asee nilikula tigo usiku kucha nashukuru yy alikuwa na vipimo tukapima asee roho inaniuma storudia
Tafuta dhambi ya maana utuletee maana hii yako kule mbinguni ni kama kesi ya kuiba kuku tu
 
Hizo nazo dhambi sasa!!

Kwanza zamani nilikua shetani, kwa yale matukio.
Nikitaja matukio yangu matatu, humu mtanitenga kabisa
 
wewe usisamehewe kukatisha uhai wa mtu aisee hapana.
 
Hii nyepesi tu kumbe pisi ilijileta yenyewe
 
Duh [emoji15][emoji15][emoji15]

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
wewe kwangu ni chekechea mimi PhD holder, Sema tunatofautiana aina ya dhambi, wingi, ukubwa wa dhambi na mtazamo wa maana ya dhambi
 
Huu uzi ungekuwa bomba sana kama malaika na watakatifu wasingekuwepo. Let's confess our sins hapa wakuu.
 
Duh..!
Duniani kuna mambo siku zote niliamini kwamba mimi niliwahi kutenda dhambi mbaya sana ambazo hakuna anayeweza kuamini hata siku nikiamua kufunguka ila nimesoma uzi wako nimekuvulia kofia!
Ngoja tu kwa leo nipite kimya ila kama ni dhambi umenifunika mbali sana[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…