Wenye Diploma na wenye umri Kati ya 26-30 UHAMIAJI wapeni ruhusa na wao waombe nafasi Kigezo kiwe mwisho 30 Tafadhari ..
Wenye mamlaka tafadhari tunaomba mliangalie hili . Siku ya tarehe 29 November 2024 KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI,MAKAO MAKUU YA UHAMIAJI - DODOMA. Alipitisha / kuruhusu Tangazo la nafasi za ajira katika Idara ya UHAMIAJI
Kati ya mambo yaliyonihuzunisha ni Hili la kuweka Kigezo kuwa waombaji watakaomba kupitia Elimu zao za Diploma Kigezo waanze na Umri wa miaka 18 Hadi 25.
TUnaomba mtuongezee Kigezo angalau mwisho iwe 30.
Ni Ngumu sana ukimaliza Chuo na kufanikisha ajira mwaka huo huo wengi tumekaa mitaani tunapambana umri unazidi kwenda sasa nafasi zimetoka zinatubagua na sisi tafadhari mamlaka tunaomba mtuongezee nafasi ya umri ..
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunakuomba Nia yako ni Njema kutengeneza Ajira mbalimbali kwa Vijana kutokana na Mzigo mkubwa ulioachiwa pindi uliposhika Madaraka tafadhari sio kosa letu tunaomba mifumo ya kuomba nafasi ituruhusu na sisi tulio above 25 years . Tupate nafasi za kuomba.
Tunakuomba viongozi wasimamizi
Maandishi yenye Rangi nyekundi yanasomeka hivi
"YOU ARE NOT ALLOWED TO APPLY FOR THIS LEVEL DUE TO THE AGE LIMIT"