wenye diploma ya MEDICAL tuwaitaje au nao ni MADOKTA??????

kazi ya doctor ni diagnose and treate, nao wanafanya hivyo sasa kwanini wasipewe heshima iyo.

Kwanini aliesoma, certificate, diploma, degree ya nurse, wote ni nurse..kwa nini isewe the same kwao

nenda kaangalie vyeo vyao ndo utajua. Msipende kulazimisha vitu visivyotakiwa. Ndo maana ku medical attendant, nurse officer na nurse midwifery. Kila mtu anajua cheo chake. Ndo maana huku kuna co, aco, amo na md
 
ni assistant clinical officer.

mkuu, ninavyofahamu mimi ni kwamba, vyuo hivi hutoa clinical officers(waliomaliza form four) na assistant medical officer(waliomaliza form six na wale clinical officers wanao upgrade) au siku hizi mambo yamebadilika?
 
Hakuna Chuo chochote kiwacho hapa duniani kinachozalisha wahitimu na kupewa stashahada ya "Medical Assistance"...! Labda huko kwenu "uswazi"...!

umekosea M.A ndio clinical officers, duniani wapo na wanatambulika ktk tasnia ya kutibu, watu ambao hawatambuliki ni AMO, hakuna cheo kama hiki,
 
mkuu, ninavyofahamu mimi ni kwamba, vyuo hivi hutoa clinical officers(waliomaliza form four) na assistant medical officer(waliomaliza form six na wale clinical officers wanao upgrade) au siku hizi mambo yamebadilika?

hiyo ilikuwepo siku nyingi ikafutwa. Walikuwa wanaitwa RMA. Kwenye matangazo ya moh mwaka jana walirudisha tena hiyo kada sijui lengo lao nini? Ko kuna assistant co, co na assistant mo. Clinical officer inatambulika kimataifa, hizo zingine zipo tanzania tu! Hata waliotuletea walishazifuta siku nyingi baada ya kutrain mds wa kutosha mpaka wengine wnawafanyia batter trade. Hawa ni wacuba ndo walitufundisha mfumo huo.
 
clinical medical assistance ni ngaz ya 3 toka kwa dr kamili. yaani wakwanza dr ambae kasoma medicine na ana degree anafanana na mwenye advanced diploma ya clinical officer wa pili ni clinical medicine diploma na wa3 ni clinical assistance officer! ni kauelewa kangu kadogo! jamani mwenye zaid aongezee!
 
nenda kaangalie vyeo vyao ndo utajua. Msipende kulazimisha vitu visivyotakiwa. Ndo maana ku medical attendant, nurse officer na nurse midwifery. Kila mtu anajua cheo chake. Ndo maana huku kuna co, aco, amo na md

Kuna ambao wanachukua diploma halafu advanced diploma halafu post graduate/masters..sasa hawa si madoctor kwasababu hawakuchukua medical doctor (MD)?
Doctor ni mtu yeyote ambae ana diagnose na ana treate, ACO,CO,AMO,MD..wote wana kazi nlizotaja
 
Maana imekuwa kawaida kusikia nao wakiitwa madaktari hasa huku kwetu uswazi, naongelea hawa waliosemea hizi diploma za medical assistance....etc . Wanaitwa madokta nao wanaitikia na wanajitambulisha kuwa dokta...... JE NI SAWA?

Kabla sijajibu swali lako let me ask you one qestion. Mtu aliyesomea Certificate ya IT anaitwa IT Technician ana aliyesomea Barchelor ataitwaje?
 
Kuna ambao wanachukua diploma halafu advanced diploma halafu post graduate/masters..sasa hawa si madoctor kwasababu hawakuchukua medical doctor (MD)?
Doctor ni mtu yeyote ambae ana diagnose na ana treate, ACO,CO,AMO,MD..wote wana kazi nlizotaja

Mkuu, postgraduate doesnt necessarily mean specialization....!! yaani unasema amemaliza diploma au adv. diploma then afanye specialization au?!If so hebu tupe mfano wa watu waliomaliza AMO, wakafanya SPECIALIZATION bila kusoma MD!!

Pili, naomba niseme unakosea...na nitarudia UNAKOSEA SANA unaposema daktari ni mtu yeyote, anayeweza ku_diagnose na ku_treat!!! Believe me it's not "just anybody"
 

Mkuu kifumbiko, hebu tusaidie ufafanuzi kati ya MFANANO wa huyo "Doctor aliyesoma Bachelor ya medicine na mwenye adv. diploma ya clinical officer" kama ulivyosema hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Job Title: Assistant Medical Officer

Job Summary:
The Assistant Medical Officer is a health personnel who has undergone a two year training
course. Based on the fact that this health personnel has worked as a Clinical Officer for at
least three years, he/she should have adequate professional skills and competence in the
provision of health care services. The AMO should therefore be able to promote and provide
curative, training and preventive services to the community.

Specific Duties
:
The AMO should be able to perform the following specific duties:

ln the District, the AMO should be able to:

  • Supervise the implementation of Primary Health Care programs.
  • Participate effectively in the district health team.
  • Attend District planning committees.
  • Attend any other meetings which promote health care.
  • Supervise peripheral health workers.
  • Arrange and conduct refresher course for other health workers in order to improve their skills.

  • Oversee the ordering of drugs, equipment and other supplies required by health units.

Within the district hospitals, they may take full responsibility for
:

  • All aspects of patients care, including emergency surgery and obstetrics
  • Organizing and supervising the running of out - patient department
  • Perform ward rounds
  • Management of financial affairs in the absence of the D.M.O.

Source: http://www.almc.habari.co.tz/amo/AMO_Curriculum.pdf
 
Wanaitwa Madaktari Wasaidizi, lakini pamoja na yote tunachojali ni huduma zao maana ndio wengi wamekuwa wakitutibu tangu nchi imepata uhuru mpaka sasa hivyo kwa kuwaita madaktari nadhani ni sawa tu katika mazingira ya kawaida ila wao pia taasisi wanazofanyia kazi wanajulikana kama AMO, wengine wapo makini kuliko hao tunaowaona ma-graduate kutokana na kujituma hasa ukizingatia magonjwa ambayo wengi huugua ni malaria, typhoid, kifua, kichwa, kuhara (magonjwa ambayo ni business as usual ambayo wana uzoefu nayo hata kabla ya kuwa AMO)

Tuwatie moyo tu kwani mtu mpaka anafikia kuwa Assistant Medical Officer ni mtu ambae amefaulu kiwango cha juu masomo ya sayansi ya O-level na A-level pia ila si katika kiwango cha juu sana, hivyo kwa kupitia hapo ni sehemu tu ya kuelekea elimu ya juu zaidi na wengi wao huwa wapo vizuri sana pindi wanapoamua kujiendeleza. Hii inanikumbusha miaka ya nyuma, kuna wanafunzi walikuwa wanatoka shule za ufundi kama Mazengo, Tanga, Ifunda na walikuwa wanafaulu kiwango cha juu kiasi cha kwenda A-level lakini wengi wao walikuwa hawapendi kwenda A-level badala yake wanakwenda vyuo vya ufundi na kutoka na FTC (Full Technician Certificate) na kiukweli wamefanya kazi nzuri sana kutokana na elimu waliyoipata kule chuoni na tulikuwa tunawaita Engineers though ni Technician

In this case, kibongobongo ni madaktari hawa kwa jinsi wanavyotusaidia kwani mwisho wa siku wataenda kuchukua full course ya udaktari
 

Narekebisha mkuu, is not anybody
Vipi kuhusu CO ambao wanachukua AMO kwa ku specialize"immunology/parasitology" na nyengne hii sio specialization? Au specialization mpaka mtu asomee mapafu,macho au moyo?
Ukinijibu apo nitakaa sawa mkuu
 
Narekebisha mkuu, is not anybody
Vipi kuhusu CO ambao wanachukua AMO kwa ku specialize"immunology/parasitology" na nyengne hii sio specialization? Au specialization mpaka mtu asomee mapafu,macho au moyo?
Ukinijibu apo nitakaa sawa mkuu

Mkuu, yaani kuwa AMO sasa ni specialization au sijakuelewa vizuri?
 
Maana imekuwa kawaida kusikia nao wakiitwa madaktari hasa huku kwetu uswazi, naongelea hawa waliosemea hizi diploma za medical assistance....etc . Wanaitwa madokta nao wanaitikia na wanajitambulisha kuwa dokta...... JE NI SAWA?

Wenye certificate=clinical assistant (Afisa tabibu wasidizi)
wenye diploma = clinical Officers (Afisa tabibu)
Advanced diploma= Assistant Medical Officers(AMO)-madaktari wasaidizi
Degree = Medical Officers (MO/MD)-madaktari
Baada ya hapo zinafuata speciality
 
Narekebisha mkuu, is not anybody
Vipi kuhusu CO ambao wanachukua AMO kwa ku specialize"immunology/parasitology" na nyengne hii sio specialization? Au specialization mpaka mtu asomee mapafu,macho au moyo?
Ukinijibu apo nitakaa sawa mkuu

Unaweza kuspecialize kwa level ya Diploma kama huna Degree, hao wana soma post graduate diploma, kwa mfano Post graduate diploma ya OBS, Anaesthesiology n.k

Masters speciality ni lazima uwe 1st degree, ila kwa kutaka sifa nao wanajiita madaktari bingwa!
 

Tofauti ya tabibu na daktari ni ipi?
Kwa mimi naona tofauti lugha (na kama tofauti lugha, kwa mujibu ya maneno yako ACO na AMO watakua sawa)
 

Post graduate ninavyojua ni kubwa kuliko fist degree, sasa vp usiweze kuchukua masters ukiwa na post mpk uwe na 1st degree. Post graduate wanachukua 1st degree na advance diploma ambao hawana GPA nzuri ya kuchukua masters.
Mtu anaweza kuchukua masters bila ya kuwa na 1st degree kwa baadh ya vyuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…