Wenye div 4 kafeli?

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
Wana jf naomba niulize hivi mtu aliyepata div4 kafeli maana humu naona mtu anataka ushauri au anauliza afanye vp na div yake 4 lakini watu wanaanza kumtupia maneno eti we nenda kalime,eti we kilaza,eti we nenda kachunge mbuzi yaani maneno kibao.sio vizuri mnavyowafanyia wenzenu
 
Yap Four is Failure kielimu na ila ukiwa makini kimaisha waweza toka ingawa.........
 
Huyo kafeli.no longolongo hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…