Wenye experience na transfer

Joined
Oct 2, 2014
Posts
74
Reaction score
6
ni process gan zina chukuliwa kuhamishiwa boom na mkopo na huwa ina tumia km mda gani ..tusaidiaane pleas km ni process ndefu tubaki kwenye vyuo tulivyyo pangiwa tu
 
Kwa hapo mkuu, me naona uwe mpole kiroho safi kabisa, usije ukaenda chuo chako cha zamani alafu ukajikuta ni miongoni mwa wale transfer zao zilizotik alafu ushalipa tuition fee kwenye chuo chako cha zamani, itakuwa n sheeeda coz utaratibu wa ww kurudishiwa hela yako n mgumu
 
kweli aisee ila hadi juma nne mambo yakiwa kimya napiga chini kwakweli una weza uka kosa kote
 
Yaan boom linazengua linaweza kuchukua ata miez minne
 
Kwa taarifa za wadau waliotoka bodi ya mikopo wanasema majina yanatoka alhamic ndo jibu walilopewa hilo

Kuna mwingne nae alisema katoka ofic kule kule majibu wakasema jtano so kila mtu akienda siku za ongezekaaa
 
ni process gan zina chukuliwa kuhamishiwa boom na mkopo na huwa ina tumia km mda gani ..tusaidiaane pleas km ni process ndefu tubaki kwenye vyuo tulivyyo pangiwa tu

Mkuu, ukifanya transfer ya chuo kuhamisha boom inaweza chukua hata mwaka, so itabd ujipange!
 
Hv hyo mwaka ndo maximum time au hata miaka miwili inawezekana? Na vipi mfano mtu alitransfer kutoka facult ya kawaida yenye 0% akaenda engineering inakuwaje kuhusu asilimia zake? Zitaongezwa au kama kawaida atakomaa na 0% yake??
 
Bro, hapo sina data, wenye data natumaini watajibu swali lako vizur saana, ahsante!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…