Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 358
Suala hili linapotoshwa sana bwana Peter Madeleka ni mwanasheria asiyejua kwamba Dubai ni Kati ya state tano zinaunda muungano wa UAE, Nyingine ni Abu Dhabi, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain, na Fujairah!
Kwa muktadha inaruhusiwa kuingiwa kama The emirates of Dubai. Ni kama later on EAC Federation, Tanzania iingie mkataba yake.
Muungano huu UAE masuala ya bandari hayausu muungano hivyo Dubai wapo huru kuingia mkataba na yoyote.
Huyu ni miongoni mwa Wanasheria walio katika mitandao ya kijamii kupotosha Umma suala linaonekana wapo kwenye stream maalum za malipo ya wasioitakia mema bandari yetu.