Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 358
Kwanza msukuma sidhani kama aliona mkataba!niliangalia video ya musukuma aisee nikacheka sana peke yangu... amewapasha vilivyo wasomi kama hao
Mwarabu kahonga V8niliangalia video ya musukuma aisee nikacheka sana peke yangu... amewapasha vilivyo wasomi kama hao
Moja ya kitu kinakera ni mtu kukutoa akili akajikweza yeye kanakwamba amesoma darasa moja na yesu au mtu kukushambulia bila ya kuwa na uhakika na hoja anayosimamia kukushambuliaKwanza msukuma sidhani kama aliona mkataba!
hata kama angeona hajui hata sentesi moja inasemaje...
Mkuu Billal Saadat, tujifunze kuheshimu professionals za watu, kama mtu ni mwanasheria, ametoa hoja za kisheria, ukiamua kumkosoa, mkosoe kisheria.Suala hili linapotoshwa sana bwana Peter Madeleka ni mwanasheria asiyejua kwamba Dubai ni Kati ya state tano zinaunda muungano wa UAE, Nyingine ni Abu Dhabi, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain, na Fujairah!
Kwa muktadha inaruhusiwa kuingiwa kama The emirates of Dubai. Ni kama later on EAC Federation, Tanzania iingie mkataba yake.
Muungano huu UAE masuala ya bandari hayausu muungano hivyo Dubai wapo huru kuingia mkataba na yoyote.
Huyu ni miongoni mwa Wanasheria walio katika mitandao ya kijamii kupotosha Umma suala linaonekana wapo kwenye stream maalum za malipo ya wasioitakia mema bandari yetu.
View attachment 2655645
Basi wanajikuta creeem 😂😂 ,kuliko kuachwa waendee kupotosha Serikali iwasake na kuwashughulikia ipasavyo.Suala hili linapotoshwa sana bwana Peter Madeleka ni mwanasheria asiyejua kwamba Dubai ni Kati ya state tano zinaunda muungano wa UAE, Nyingine ni Abu Dhabi, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain, na Fujairah!
Kwa muktadha inaruhusiwa kuingiwa kama The emirates of Dubai. Ni kama later on EAC Federation, Tanzania iingie mkataba yake.
Muungano huu UAE masuala ya bandari hayausu muungano hivyo Dubai wapo huru kuingia mkataba na yoyote.
Huyu ni miongoni mwa Wanasheria walio katika mitandao ya kijamii kupotosha Umma suala linaonekana wapo kwenye stream maalum za malipo ya wasioitakia mema bandari yetu.
View attachment 2655645
Na wajinga wengi wameshaaminishwa kuwa hili ni suala la utanganyika na uzanzibari....Ujue mjinga akimezeshwa jambo kuja kulitoa Huwa ni kazi,si mnawaona wanavyofanya huko wanakoita makanisani?