Lazima kila mwananchi asajiliwe!
Kuna watu wana namba ya NIDA lakini usajili umegoma.
Alama ya vidole ni utaratibu wa kuscan Fingerprints kwenye mifumo ya utambuzi!
Kuna baadhi ya watu ambao fingerprint HAZIWEZI kusomwa na mfumo huo kutokana na sababu mbalimbali:

- Watu wanaojishughulisha na Ujenzi Wa tofali vidole haviwezi kusoma kutokana na kusagika na mchanga!
- Vilema ambao hawana mikono
- Wenye ukoma
- Wazee wenye umri mkubwa zaidi
- Wagonjwa wanatumia dawa kali
- Waponda kokoto
- Wazibua mitaro na mapango n.k