Tetesi: Wenye Fingerprint mbovu zinazogoma usajili wa vidole sasa kusajili kwa kutumia komwe (paji la uso) au ulimi

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Lazima kila mwananchi asajiliwe!

Kuna watu wana namba ya NIDA lakini usajili umegoma.

Alama ya vidole ni utaratibu wa kuscan Fingerprints kwenye mifumo ya utambuzi!

Kuna baadhi ya watu ambao fingerprint HAZIWEZI kusomwa na mfumo huo kutokana na sababu mbalimbali:
  • Watu wanaojishughulisha na Ujenzi Wa tofali vidole haviwezi kusoma kutokana na kusagika na mchanga!
  • Vilema ambao hawana mikono
  • Wenye ukoma
  • Wazee wenye umri mkubwa zaidi
  • Wagonjwa wanatumia dawa kali
  • Waponda kokoto
  • Wazibua mitaro na mapango n.k
Watu sampuli hii: Sasa wameandaliwa utaratibu maalum wa kutumia either paji la uso, ulimi, kalio au damu (DNA) ili kila mtu AKASAJILIWE!
 
Tetesi Ya Hovyo Hii
Umvue Mtu Nguo Aweke Tako Kisa Usajili
Ndo najiuliza na kwenye kusajili laini itakuwaje na vile wasajili wale wapo barabarani si ndo kumwaga radhi huko!!
 
Tetesi Ya Hovyo Hii
Umvue Mtu Nguo Aweke Tako Kisa Usajili
kwani wee Kennedy wasiwasi wako nini!?
Tako ni moja kati ya option zingine kama zikishindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…