Heading yako haiendani na content.Baada ya zoezi la kubadili laini kwenye mfumo wa alama za vidole imepelekea Tigo kupoteza wateja wengi na hii kwavile udhaifu wa huduma zao kwa upande wa vifurushi, kusema ukweli Tigo tunatumia kwavile wakati tunaanza kutumia simu tumekuta Tigo ipo kwenye hadhi na urais wa vifurushi na ilikuwa ngumu kubadlika kwenda mtandao mwengne kwavile watu wengi hujua namba zetu na hata miamala ya fedha zenu huhusisha laini hizo.
Sasa mwaka huu kwisha kabisaa, leo nasikilza radio nakutana na tangazo la kushawishi wale waliofungiwa laini zao warudi kwa mawakala kurudisha laini hizo, yaani hii kampeni sijaona kwa mtandao wowote tena balaa zaidi endapo utarudisha laini yako utapata offer ya vifurushi. Afisa masoko ameshagundua kwanini sokoni kunalega lega. Umiza kichwa umiza kichwa baba na wale waliyowekeza hapo vichwa kuuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wengi sana ufanya ivMimi tangu nimalize chuo niliamua kuweka line ya tigo kapuni, nilikuwa na tigo kwa ajili ya mshua kunirushia senti mbili za Kujikimu mana mzee wangu ni ngumu kumhamisha
Nilianza kutumia vodacom tarehe 01.02.2002 nikaja kutumia tigo tokea 02.05.2002. Izo laini zote zipo hewani na airtel tokea mwaka 2008 mpaka Leo na siwezi kuama iyo mitandao. Na tigo ndio mitandao ambao nimeunga kwy mobile money, whatasspp, Instagram, telegram na mpaka Leo sijajutia Ingawa wengine wanalalamikaMimi tangu nimalize chuo niliamua kuweka line ya tigo kapuni, nilikuwa na tigo kwa ajili ya mshua kunirushia senti mbili za Kujikimu mana mzee wangu ni ngumu kumhamisha
Tigo walikuwa vizuri sana vfurushi nafuu na network fresh..wakaja kujiloga kupandsha bei za vifurush na speed nayo ikawa mbovu zaidi.sifagilii voda khvo but kheri ninunue bando voda kuliko tigo,"WANABOA"Baada ya zoezi la kubadili laini kwenye mfumo wa alama za vidole imepelekea Tigo kupoteza wateja wengi na hii kwavile udhaifu wa huduma zao kwa upande wa vifurushi, kusema ukweli Tigo tunatumia kwavile wakati tunaanza kutumia simu tumekuta Tigo ipo kwenye hadhi na urais wa vifurushi na ilikuwa ngumu kubadlika kwenda mtandao mwengne kwavile watu wengi hujua namba zetu na hata miamala ya fedha zenu huhusisha laini hizo.
Sasa mwaka huu kwisha kabisaa, leo nasikilza radio nakutana na tangazo la kushawishi wale waliofungiwa laini zao warudi kwa mawakala kurudisha laini hizo, yaani hii kampeni sijaona kwa mtandao wowote tena balaa zaidi endapo utarudisha laini yako utapata offer ya vifurushi. Afisa masoko ameshagundua kwanini sokoni kunalega lega. Umiza kichwa umiza kichwa baba na wale waliyowekeza hapo vichwa kuuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunatofautiana mkuuKama mtu bado unalia na bando la 2000tsh kweli utakuja kumiliki V8 kweli!?[emoji851][emoji851]mimi tatumia Gb 1 kila siku kwa wiki natumia Gb 7 na gharama nayotumia kwa Gb 1 ni sawa na 3500tsh kwa kila siku
Sent using IPhone X