Wenye ID mbaya tuwekeni picha zetu hatupendi ujinga!!

Wenye ID mbaya tuwekeni picha zetu hatupendi ujinga!!

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Leo nilikuwa naangalia uzi fulan uliowataka wadada wachague mwanaume mwenye mvuto hapo nikaona ID zinahusika maana wenye ID mbaya wote tumerukwa futi mia    sasa leo natoa pendekezo la kila mwenye ID aweke pcha yake na uchaguzi urudiwe  hapa! Mi naweka yangu kiivi
1475178980247.jpg
 
Kwa hali ya jpm Rais Magufuli hawaendi supermarket ndio maana umerukwa
Ngoja nifungue genge la kuuza nyanya hapa hapa mtaani wanaweza kujileta. Isijekuwa wanawake ni wachache humu Jf sema wana ID mbili mbili mpk 3[emoji3] [emoji3] [emoji23]
Idadi inaweza kusoma wapo 100 kumbe wapo 30
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom