incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Kwa hali ya jpm Rais Magufuli hawaendi supermarket ndio maana umerukwaMimi ngoja nikaoge maji ya baharini nisafishe nyota.ID yangu nzuri na picha nimeweka nzuri lakini sikutajwa
200+ channelsView attachment 409361
Hapo (kulia) wakati nikingali bado kijana
Hizi avatar zinadanganya sana wadada humu jf aiseeee...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ngoja nikaoge maji ya baharini nisafishe nyota.ID yangu nzuri na picha nimeweka nzuri lakini sikutajwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 409361
Hapo (kulia) wakati nikingali bado kijana
Sasa mkuu Ushimen unataka kusema wadada wanazimika na avatar yako[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Hizi avatar zinadanganya sana wadada humu jf aiseeee...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja nifungue genge la kuuza nyanya hapa hapa mtaani wanaweza kujileta. Isijekuwa wanawake ni wachache humu Jf sema wana ID mbili mbili mpk 3[emoji3] [emoji3] [emoji23]Kwa hali ya jpm Rais Magufuli hawaendi supermarket ndio maana umerukwa
Hapa kazi tu , hayo maswala ya ID mnayajua nyie[emoji23]
Aisee we ni mtanashati nimekupenda bureee[emoji8]
karibuuuuuuuuuuAisee we ni mtanashati nimekupenda bureee[emoji8]
Ha,ha,haaaa....View attachment 409361
Hapo (kulia) wakati nikingali bado kijana
Ohooooo......Sasa mkuu Ushimen unataka kusema wadada wanazimika na avatar yako[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ngoja nifungue genge la kuuza nyanya hapa hapa mtaani wanaweza kujileta. Isijekuwa wanawake ni wachache humu Jf sema wana ID mbili mbili mpk 3[emoji3] [emoji3] [emoji23]
Idadi inaweza kusoma wapo 100 kumbe wapo 30